Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

Wakuu, Toyota IST ncp61 (2WD) ni stable barabarani ?

IST yenye '4WD' (ncp65) ambayo wadau wanasema ndiyo iliyo stable zaidi road, nasearch napata za zamaani huko mwaka 20002!!
 
kwenye ulaji wa mafuta kati ya spacio na IST ipi nafuu kama zote zikiwa na CC sawa?
It's obviously Toyota Spacio itakula mafuta zaid kuliko Ist kutokana na tofauti za weight ya gari;spacio is much much heavier than Ist, kadiri gari linapokuwa na uzito mkubwa ndivyo engine itahitaji kuzalisha power kubwa zaid ili gari litembee na hiyo nguvu inayozalishwa Ili gari litembee inazalishwa kupitia gari kuchoma mafuta ukiachilia hewa nk.

Lakini Pili itategemea na mazingira, Mf.Spacio pamoja na uzito wake haijabeba load kubwa lakin Ist imebebeshwa load kubwa hapa lazima Ist ata consume mafuta mengi zaid kuliko spacio ndiyo maana unashauriwa usipende kuweka mamizigo yasiyokuwa na msingi kwenye gari; Na mwisho uchawi wa mafuta ni mguu wako wa kulia unavyoutumia kwenye acelerator katika uendeshaji wako.
 
IMG_3115.JPG

Mkuu wasikukatishe tamaa million 10 unapata Toyota Ist (2005)
Wacheki hao jamaaa
Pia kuna jamaa anaitwa KIMOMWE MOTORS naye huuza bei hizo hizo kwa 10mil Unaagiza vizuri!
 
Haya mkuu. Itabidi nitafute tena hiyo M 1 ya kuongeza.

Kama ist tu unajichanga hvo kulihudimia utaweza?? Matengenezo madogo madogo ...kama unavosema hujawah miliki gari mikiki ya magari unaijua leo paap umegonga vx ya watu si unaeza acha hiyo IST ?? .
 
Kama ist tu unajichanga hvo kulihudimia utaweza?? Matengenezo madogo madogo ...kama unavosema hujawah miliki gari mikiki ya magari unaijua leo paap umegonga vx ya watu si unaeza acha hiyo IST ?? .
Mbn ww unapenda kukatisha tamaa wakati mwenzako ndio kaanxa mwanzo mzuri anataka mpya hataki hiyo second hand hebu tulia unajifanya unayajua magari wakati hata huna ...kausha

sent from toyota Allex
 
Mbn ww unapenda kukatisha tamaa wakati mwenzako ndio kaanxa mwanzo mzuri anataka mpya hataki hiyo second hand hebu tulia unajifanya unayajua magari wakati hata huna ...kausha

sent from toyota Allex

Unaeza nipa sababu kwann umesema sina
 
Mbn ww unapenda kukatisha tamaa wakati mwenzako ndio kaanxa mwanzo mzuri anataka mpya hataki hiyo second hand hebu tulia unajifanya unayajua magari wakati hata huna ...kausha

sent from toyota Allex

Kijana unavuta bangi?? Ulipoquote umeona nimeongea maswala ya second hand...wewe ambae dream car yake ni allex...mpya inapatikana wapi kwa sasa...bei ya mpya ikiwepo unajua?? Hutaki second hand afu unamilion 10 acha bangi
 
Back
Top Bottom