Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Matairi ndo kitu muhimu kuliko chochote maana huwezi jua Japan yametumika kwa kiasi ganiKwa matairi anaweza kuzugia zugia hata mwaka, hata betri atasuuza sura kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matairi ndo kitu muhimu kuliko chochote maana huwezi jua Japan yametumika kwa kiasi ganiKwa matairi anaweza kuzugia zugia hata mwaka, hata betri atasuuza sura kwanza
Basi ndo ujue na uchukue hatuaIlikuwa sijui jamani
Hahhah usijal my babu au sioBasi ndo ujue na uchukue hatua
Ewaaaa... hapo nimeridhika na kufurahi. Nimesuuzika roho kwatuuuHahhah usijal my babu au sio
Ewaaaa... hapo nimeridhika na kufurahi. Nimesuuzika roho kwatuuu
Ahsante mkuuNi takwa la kisheria ulimwenguni kote kutumia agent na sio mtu binafsi
Unaweza ukawa document zote ziko sawa lakini clearing agent akakuzungusha wee mara system inasumbua mara nini ukija tahamaki storage ishaanza.
Ujumlishe na ada ya wakala wa kulitoa bandarini,,,,
Hivi hizo Gharama za Ma agent kwa nini mtu asinge shughulikia ye mwenyewe bila agents, kwa nini hao ma agent wapo?Hapo bado hujalipia malipo ya Bandari fixed 230,000 hapo ni kama umeitoa gari ndani ya grace period hujamlipa Agent 250,000 tshs anaekutolea hio gari, hujalipia $70 hela ya kupokea documents toka kwa shipper, hujalipia bima ya gari, pia hujaifanyia service hio gari i.e battery, matairi engine oil, air cleaner etc hio milioni 10 bado sana
Nadhani kuanzia 1.07 2019 kwenye hii bajeti serikali inaandaa utaratibu wa kuwawezesha watu binafsi kutoa bidhaa zao wenyewe badala ya kutumia ma agent huko bandariniHivi hizo Gharama za Ma agent kwa nini mtu asinge shughulikia ye mwenyewe bila agents, kwa nini hao ma agent wapo?
Mkuu kwenye hii bajeti mpya ya kuanzia 01.07.2019 serikali inaandaa utaratibu wa watu binafsi kuweza kutoa mizigo yao wenyewe badala ya kutumia wakala wa forodha..Ahsante mkuu
IST 'brand new'? Kwa TSH million 13?!!!! mmmh
Mkuu kwenye hii bajeti mpya ya kuanzia 01.07.2019 serikali inaandaa utaratibu wa watu binafsi kuweza kutoa mizigo yao wenyewe badala ya kutumia wakala wa forodha..
Hakuna brand new IST ya 13 milioni. Usipotoshe, hizo ni bei za usedHamna I.S.T ya milion 10 net jitahidi kuongeza milion 3 utapata brand New