Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

Ongezea kwanza pesa mkuu kabla hujaagiza, pale bandarini sio sehemu poa. panaweza kukutia stress ukajutia. Nilishawahi mwona mtu mzima analia hivihivi kisa gari yake imeingia storage. Sina hamu napo hata kidogo.

Unaweza ukawa document zote ziko sawa lakini clearing agent akakuzungusha wee mara system inasumbua mara nini ukija tahamaki storage ishaanza.
 
Unaweza ukawa document zote ziko sawa lakini clearing agent akakuzungusha wee mara system inasumbua mara nini ukija tahamaki storage ishaanza.

Haya, clearing agent kala knock out...
 
Hivi hizo Gharama za Ma agent kwa nini mtu asinge shughulikia ye mwenyewe bila agents, kwa nini hao ma agent wapo?
 
Hivi hizo Gharama za Ma agent kwa nini mtu asinge shughulikia ye mwenyewe bila agents, kwa nini hao ma agent wapo?
Nadhani kuanzia 1.07 2019 kwenye hii bajeti serikali inaandaa utaratibu wa kuwawezesha watu binafsi kutoa bidhaa zao wenyewe badala ya kutumia ma agent huko bandarini
 
Umeonajr hii mkuu si jambo jema japo wakala wengi watakosa wateja
Mkuu kwenye hii bajeti mpya ya kuanzia 01.07.2019 serikali inaandaa utaratibu wa watu binafsi kuweza kutoa mizigo yao wenyewe badala ya kutumia wakala wa forodha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…