johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna calsualities zimekuwa reported?Mzee wa kung'ata na kupuliza safari hii kaingia pabaya Jana wayahudi zaidi ya milioni 2 Tel Aviv walilala kwenye mashimo kama fuko
Ume be sided na waisrael.Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha
Credit: Al Jazeera news
Baadae Mlale unono 😃🌹
🤣🤣🤣Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha
Credit: Al Jazeera news
Baadae Mlale unono 😃🌹
Israel hatuna tabia ya kuripoti madhara tutampa adui nguvu labda itokee imevuja.Kuna calsualities zimekuwa reported?
Hao ni Wana wa Mungu wa ibrahim isaka na yakobo, lazima watashinda vitaAlipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha
Credit: Al Jazeera news
Baadae Mlale unono 😃🌹
Umetoa wap habar za uongo hizi..hvi kwanini hua mnaonekana kama mmerukwa na akili waarabu na waislamu mnaosapot ugaidi..wiki tu wameshakufa magaidi 700 huko lebanon...Mzee wa kung'ata na kupuliza safari hii kaingia pabaya Jana wayahudi zaidi ya milioni 2 Tel Aviv walilala kwenye mashimo kama fuko
jifurahishe tu hakuna dharau kama hio.Netanyahu ameunguruma kama Simba Vinyama vya Mwitu vyote vimekimbia😁
Leo wamemtungua muongoza drone.Mzee wa kung'ata na kupuliza safari hii kaingia pabaya Jana wayahudi zaidi ya milioni 2 Tel Aviv walilala kwenye mashimo kama fuko
fukoMzee wa kung'ata na kupuliza safari hii kaingia pabaya Jana wayahudi zaidi ya milioni 2 Tel Aviv walilala kwenye mashimo kama fuko