Netanyahu aiambia UN hakunaga wa kulitishia Nyau Israel hapa Duniani, Waarabu watoka ukumbini kabla ya Hotuba!

Netanyahu aiambia UN hakunaga wa kulitishia Nyau Israel hapa Duniani, Waarabu watoka ukumbini kabla ya Hotuba!

Umetoa wap habar za uongo hizi..hvi kwanini hua mnaonekana kama mmerukwa na akili waarabu na waislamu mnaosapot ugaidi..wiki tu wameshakufa magaidi 700 huko lebanon...
Yani watakufa watu...mbaya zaid magaidi hua mnawatumia watoto wenu na akina mama zenu kujikinga na mabomu, mmewafanya kama ngao ukumaninah wa hali ya juu sana
Israel zaidi ya kuuwa raia wanawake na watoto Hana mpya. Kama mwanaume apambane kiume asiuwe raia
 
Mzee wa kung'ata na kupuliza safari hii kaingia pabaya Jana wayahudi zaidi ya milioni 2 Tel Aviv walilala kwenye mashimo kama fuko
Ila walitoka salama sio kule ambako baadae mnaanza kuleta takwimu za wamama na watoto ili muonewe huruma.
 
Back
Top Bottom