Netanyahu aiambia UN hakunaga wa kulitishia Nyau Israel hapa Duniani, Waarabu watoka ukumbini kabla ya Hotuba!

Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini

Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha

Credit: Al Jazeera news

Baadae Mlale unono 😃🌹
Huku anaomba msaada Marekani, NATO na Uk wamasaidie. Isreal bila ya NATO ni wepesi sana
 
Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini

Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha

Credit: Al Jazeera news

Baadae Mlale unono 😃🌹
Hivyo hivyo mwanangu
 
Muislam hashindwi na kafiri kama wewe na makafiri wenzio
Wewe ambae unasema ni Dini ya Allah huna Teknolojia unategemea Silaha ununue kutoka kwa "Makafiri" waliojaaliwa na Allah 😆😂🤣
 
Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini

Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha

Credit: Al Jazeera news

Baadae Mlale unono [emoji2][emoji257]
Kuna taarifa mbaya kwa kobazi leo nasikia mkuu wa hezbollah Nasrullah kaliwa kichwa tayari huko makao makuu ya hezbollah
 
Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini

Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha

Credit: Al Jazeera news

Baadae Mlale unono 😃🌹
Ujinga
 
Back
Top Bottom