Netanyahu aiambia UN hakunaga wa kulitishia Nyau Israel hapa Duniani, Waarabu watoka ukumbini kabla ya Hotuba!

Israel zaidi ya kuuwa raia wanawake na watoto Hana mpya. Kama mwanaume apambane kiume asiuwe raia
 
Mzee wa kung'ata na kupuliza safari hii kaingia pabaya Jana wayahudi zaidi ya milioni 2 Tel Aviv walilala kwenye mashimo kama fuko
Ila walitoka salama sio kule ambako baadae mnaanza kuleta takwimu za wamama na watoto ili muonewe huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ