Huku anaomba msaada Marekani, NATO na Uk wamasaidie. Isreal bila ya NATO ni wepesi sanaAlipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha
Credit: Al Jazeera news
Baadae Mlale unono ๐๐น
HAKIKA, au Msikiti wa kwa MtogoleSource : Kijiwe Cha Bao, Mtoni Kwa Aziz Ally.
Baba Netanyahu ashikilie hapo hapo.
Hakuna kucompromise na magaidi.
Ni kuwapa dozi tu
[/QUOTE
Muislam hashindwi na kafiri
Hivyo hivyo mwananguAlipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha
Credit: Al Jazeera news
Baadae Mlale unono ๐๐น
Nimesema magaidi. Sijataja dini.Muislam hashindwi na kafiri kama wewe na makafiri wenzio
Wewe ambae unasema ni Dini ya Allah huna Teknolojia unategemea Silaha ununue kutoka kwa "Makafiri" waliojaaliwa na Allah ๐๐๐คฃMuislam hashindwi na kafiri kama wewe na makafiri wenzio
Unazunguruka tu. Wakiristo wa jf mnajulikanaNimesema magaidi. Sijataja dini.
Kuna waislam zaidi ya mil 2 wanaishi kwa amani ndani ya Israel
Kafiri gani anamuuzia PALESTINA Silaha?Wewe ambae unasema ni Dini ya Allah huna Teknolojia unategemea Silaha ununue kutoka kwa "Makafiri" waliojaaliwa na Allah ๐๐๐คฃ
Kuna taarifa mbaya kwa kobazi leo nasikia mkuu wa hezbollah Nasrullah kaliwa kichwa tayari huko makao makuu ya hezbollahAlipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha
Credit: Al Jazeera news
Baadae Mlale unono [emoji2][emoji257]
Nasrullah kaliwa kichwa sheheMzee wa kung'ata na kupuliza safari hii kaingia pabaya Jana wayahudi zaidi ya milioni 2 Tel Aviv walilala kwenye mashimo kama fuko
Unamaanisha nini?!Unazunguruka tu. Wakiristo wa jf mnajulikana
Mara zilipukeWanaenda kumuangalia kwenye TV tena zilizo tengenezwa na Israel.
All the best
UjingaAlipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha
Credit: Al Jazeera news
Baadae Mlale unono ๐๐น
Pole Sana mkuuMavi yake
Ajabu ipo. Linakaaje hapo?Foot 10-20 ni sawa na mita 3 mpaka 6, kuna ajabu hapo?
Kwani neta nyau ndio anaepigana israhell haito kaa ishinde hii vita abadanIsrael itashinda hii vita labda itokee Netanyahu aondolewe katika Boksi la Kura.
Tuombe Uhai.Kwani neta nyau ndio anaepigana israhell haito kaa ishinde hii vita abadan
Sawa ndio lakuombaTuombe Uhai.
Ngoja nikukumbushe au kukuuliza si unayajua Lakini malengo ya vita ya israhell eeenhTuombe Uhai.
Uchungu upi kaishiwa hana target anapiga majumba kule Lebanon kwa kutumia 2000 tons hio kama sio genocide ni nini? Hezbullah tulia na yeye afanye genocide uone Europe na America kama hawakulalamika kule UN.Pole Sana mkuu
Huu uchungu ni hatari