Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.

Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.

View attachment 3058477

Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Hamna chochote cha maana alichoongea kwa mtu mwenye akili ndio maana hata huko israel hawamtaki tena ,amekuwa liability kwa israel
 

Attachments

  • Screenshot_20240801-123855_Chrome.jpg
    Screenshot_20240801-123855_Chrome.jpg
    354.5 KB · Views: 5
Tatizo la Abraham, hakuacha utaratibu wa urithi wa mtoto wa mchepuko wake wa Ki-Misri, ambaye ni Ishmael (Baba wa Waarabu)
Kuwatukana Mitume wa Allah ni jambo la kawaida kwenu nyinyi pamoja na ndugu zenu waliolaaniwa mayahudi. Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwa mzinifu. Mna midomo michafu mno mnapowazungumza Mitume wa Allah.

Allah awahishe kuangamia kwa ndugu zenu. Watu wa kutanga tanga na kuhangaika kwa sababu ya laana yao. Hawakai sehemu ila wataleta balaa kwa waliowakaribisha na kuwahifadhi.
 
Back
Top Bottom