Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Na mimi naungana nao kwamba ni yao kabisa.
Usicho kijia ni kwamba Isaac alikuwa na watoto wawili Jacobo na Esau

Jacob amezaa waisrael
Esau amezaa waparestina

Kinachokusumbueni ni udini tu Kwa sababu waparestina ni waislam
 
Usicho kijia ni kwamba Isaac alikuwa na watoto wawili Jacobo na Esau

Jacob amezaa waisrael
Esau amezaa waparestina

Kinachokusumbueni ni udini tu Kwa sababu waparestina ni waislam
Siyo kila Mpalestina ni Muislamu, na siyo kila Myahudi anafuata imani ya dini ya Kiyahudi.

Kuna Wapalestina Wakristo, na kuna Wayahudi Waislamu na Wakristo.
 
Back
Top Bottom