Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Tatizo la Abraham, hakuacha utaratibu wa urithi wa mtoto wa mchepuko wake wa Ki-Misri, ambaye ni Ishmael (Baba wa Waarabu)
Kwani watu wote walio upande wa Sarah mke wa Abraham,ardhi yao waliorithishwa ni Israel tu!!?

Unajua lakini ukubwa wa kanchi ka Israel?
 
😂😂😂😂😂ko wewe ukiona vile wachungaji wa mchongo wanaombea mtu wanamshika kichwa af anaanguka ndo unaamini jina la kristo linamuunguza jini🤣🤣 mtaendelea kuwatajirisha hadi akili ziwakae sawa
Bosi hata mimi ninayeamini nikitamka kwa imani Jina la Yesu Kristo Majini yanaungua moto. Hata wewe siku ukiamini unaweza toa pepo. Uwezo huo tumepewa wote ila unapaswa kuamini tu, na siyo kazi ya manabii au wachungaji tu
 
Hamna chochote cha maana alichoongea kwa mtu mwenye akili ndio maana hata huko israel hawamtaki tena ,amekuwa liability kwa israel
Ni wangapi wasiomtaka?

Hata Tanzania, si wote wanamtakia Samia lakini bado ameendelea kuwa Rais wa Tanzania.
 
Ni wangapi wasiomtaka?

Hata Tanzania, si wote wanamtakia Samia lakini bado ameendelea kuwa Rais wa Tanzania.
Netanyahu silaha yake ya kubaki madarakani ni kuendelea na vita ili kukwepa uchaguzi na kesi yake ya rushwa, baadhi ya mawaziri wake muhimu kama gantz na gallant wameonyesha kupingana nae hadharani na huku gantz akijiuzulu
Wananchi kila siku ni maandamano kumpa shinikizo aachie ngazi
jitahidi kufuatilia intetnational news hutouliza swali kama hilo
 
Huo ndiyo ujinga wa kizungu kuwaita waarabu waislam, uyahudi ni Imani siyo taifa,Kuna wayahudi wengi Ethiopia
Waithiopia sio wayahudi kwa sababu ya dini Bali ni damu kutoka kwa Mnyahudi Babu yao mfalme Suleiman aliyepelekewa penzi na bibi Yao Malkia wa sheba
 
Kutafuta mafarakano na Israel ni kujitafutia balaa, msiwaone marekani na mataifa mengine ni wajinga kutoishutumu Israel moja kwa moja.......tangu zamani mataifa yalikuwa yanatafuta kufanya mapatano na Israel ili yaweze kustawi.
Na tokea zamani hakuna Taifa lililotunishiana misuli na Israel likafanikiwa.
 
Hakujawahi kuwa na nchi inayoitwa israel kabla ya 948.
 
Waithiopia sio wayahudi kwa sababu ya dini Bali ni damu kutoka kwa Mnyahudi Babu yao mfalme Suleiman aliyepelekewa penzi na bibi Yao Malkia wa sheba
Crazy mother fanta,Kuna waethiopia wayahudi na wasio wayahudi,Kuna waethiopia waislam na wakiristo
 
Kumbuka uyahudi is both Kabila and dini. Kwenye kabila wanaumgamishwa na damu wether ni Mkristu au muislam
Si kweli,wanataka kufanya uyahudi ni kabila wakati ni dini,wanajichanganya wao na kukuchanganya wewe
 
Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.

Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.

View attachment 3058477

Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Na ndio ile ile,Israel iliyomsulubu,na kumuua Yesu,na kumuita mtoto wa nje ya ndoa.Hawa ni wa kuzimu tu,hawatauona ufalme wa mbinguni.
 
Back
Top Bottom