inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Huo ndiyo ujinga wa kizungu kuwaita waarabu waislam, uyahudi ni Imani siyo taifa,Kuna wayahudi wengi EthiopiaUyahudi ni Dini na hapohapo NI utaifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo ujinga wa kizungu kuwaita waarabu waislam, uyahudi ni Imani siyo taifa,Kuna wayahudi wengi EthiopiaUyahudi ni Dini na hapohapo NI utaifa
Sisi tunagawa ardhi kwa waarabu ambao waarabu wenzao hawawezi kuwapaAnasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.
Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.
View attachment 3058477
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Wayahudi hata Ethiopia wapo,ni diniWako wapi sasa wayahudi original?
Acha kujitoa ufahamu aliye mpa Ibrahim hajiri ni mkewe mwenyewe.Tatizo la Abraham, hakuacha utaratibu wa urithi wa mtoto wa mchepuko wake wa Ki-Misri, ambaye ni Ishmael (Baba wa Waarabu)
Umeandika mengi,hongera sana.Inaonekana vitabu unavyosoma wewe no to faut I ma biblia,biblia inamtaja Hajira kama mfanyakazi wa ndani was Sara make was Ibrahim. Ibrahim hakumuoa mama yake Ishmael.Hivyo mzee IBRA alimchaoa nao beki tatu.MsipotosheBibi Hajira alikuwa ni mke wa Nabii Ibrahim (Amani iwe juu yake). Alimzaa Nabii Isma'il (Amani iwe juu yake). Mke wa kwanza Nabii Ibrahim ni Bibi Sara aliyemzaa Nabii Is-haq (Amani iwe juu yao).
Isma'il na Is-haq (Amani iwe juu yao) walikuwa ni ndugu na walikuwa ni manabii wa Allah. Hawakuwa na ugomvi wala uhasama. Dini yao ilikuwa ni Dini ile ile ya Baba yao, Nabii Ibrahim (Amani iwe juu yake) ambaye hakuwa yahudi wala mkristo, bali alikuwa ni Mwenye kumpwekesha Allah peke yake, hali ya kuwa ni mwenye kuepuka mila zote, Muislam.
Nabii Is-haq (Amani iwe juu yake) alikuwa na mtoto ambaye ni Nabii pia Ya'aqub au Israil (Amani iwe juu yake) naye alikuwa katika Dini ile ile waliyoifuata wazee wake na wala hakuwa yahudi wala mkristo. Na Dini hiyo ndio aliyowaachia kizazi chake (wana wa Israil).
Nabii Isma'il (Amani iwe juu yake) ndio katika kizazi chake akaja kutokea Mtume wa mwisho Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Aliyeifikisha Dini iliyofuatwa na ndugu zake katika Mitume waliotangulia.
Uyahudi ni dini iliyokuja baadae, kizazi cha wana wa Israil walipoacha njia ya Ibrahim, Is-haq, Ya'aqub na watoto wake, Musa, Harun, Dawud, na Sulayman. Watu wakajitungia dini yao ya uyahudi. Bado Allah alipeleka kwao Mitume kuwarudisha katika Dini walioifuata wazee wao, Uislam. Wakawapinga na wengine wakawaua.
Amani iwe juu ya Mitume wote.
Huo ndiyo ujinga wa kizungu kuwaita waarabu waislam, uyahudi ni Imani siyo taifa,Kuna wayahudi wengi Ethiopia
Kwa biyo mkeo akikupa demu,hu yo demu no mchepuko au siyo mchepuko?Acha kujitoa ufahamu aliye mpa Ibrahim hajiri ni mkewe mwenyewe.
Hadi QUR'AN,iliyoandikwa Karne ya 6 imesema Kuna wayahudi na waisraeli,hakuna myahudi muislam Bali Kuna waisrael waislamWayahudi siô wôte Wayahudi kidini wàpo Wayahudi Waislam.
Israel baadaye nickname yake iligeuzwa na kuwa Myahudi wakichukua jina la Wayuda
Hadi QUR'AN,iliyoandikwa Karne ya 6 imesema Kuna wayahudi na waisraeli,hakuna myahudi muislam Bali Kuna waisrael waislam
Wapo Ethiopia na wapi?Wayahudi hata Ethiopia wapo,ni dini
Ukraine,ujeruman, ufaransa, uingereza nkWapo Ethiopia na wapi?
Huwa una 'down syndrome'?Wayahudi NI Taífa na Dini Papohapo.
Ila siô kîla Myahudi NI Myahudi kiimani
Don't they know the land of Israel is where Abrahim, Isaac and Jacob prayed!!Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.
Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.
View attachment 3058477
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA
Watakwambia Wayahudi OG ni WamasaiWayahudi OG wako Wapi?
Mdada upo vizuri...chagua zawadi.Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
😂😂😂😂😂ko wewe ukiona vile wachungaji wa mchongo wanaombea mtu wanamshika kichwa af anaanguka ndo unaamini jina la kristo linamuunguza jini🤣🤣 mtaendelea kuwatajirisha hadi akili ziwakae sawaWanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
Mashetani hsya mnayoswali nayo misikitini na kuyafuga majumbani mwenu tena yanakaa vichwani mwenu mkiyapandisha baada ya kusoma vifungu fulani vya quran? 🤣Wewe mjinga, mnapokuwa washirikina kwa kumuomba asiyekuwa Allah ndio mashetani wanafurahi kwa sababu wanawapoteza. Ndio maana wanawacheza shere, hivyo nyinyi ndio mnadanganywa.
Halafu sisi hatumuombi Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), tunamuomba Allah. Na tunajikinga kwake peke yake atuepushe na mashetani na tunamuomba Yeye tu Allah atuondolee mashetani.