Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Tatizo la Abraham, hakuacha utaratibu wa urithi wa mtoto wa mchepuko wake wa Ki-Misri, ambaye ni Ishmael (Baba wa Waarabu)
Acha kujitoa ufahamu aliye mpa Ibrahim hajiri ni mkewe mwenyewe.
 
Bibi Hajira alikuwa ni mke wa Nabii Ibrahim (Amani iwe juu yake). Alimzaa Nabii Isma'il (Amani iwe juu yake). Mke wa kwanza Nabii Ibrahim ni Bibi Sara aliyemzaa Nabii Is-haq (Amani iwe juu yao).

Isma'il na Is-haq (Amani iwe juu yao) walikuwa ni ndugu na walikuwa ni manabii wa Allah. Hawakuwa na ugomvi wala uhasama. Dini yao ilikuwa ni Dini ile ile ya Baba yao, Nabii Ibrahim (Amani iwe juu yake) ambaye hakuwa yahudi wala mkristo, bali alikuwa ni Mwenye kumpwekesha Allah peke yake, hali ya kuwa ni mwenye kuepuka mila zote, Muislam.

Nabii Is-haq (Amani iwe juu yake) alikuwa na mtoto ambaye ni Nabii pia Ya'aqub au Israil (Amani iwe juu yake) naye alikuwa katika Dini ile ile waliyoifuata wazee wake na wala hakuwa yahudi wala mkristo. Na Dini hiyo ndio aliyowaachia kizazi chake (wana wa Israil).

Nabii Isma'il (Amani iwe juu yake) ndio katika kizazi chake akaja kutokea Mtume wa mwisho Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Aliyeifikisha Dini iliyofuatwa na ndugu zake katika Mitume waliotangulia.

Uyahudi ni dini iliyokuja baadae, kizazi cha wana wa Israil walipoacha njia ya Ibrahim, Is-haq, Ya'aqub na watoto wake, Musa, Harun, Dawud, na Sulayman. Watu wakajitungia dini yao ya uyahudi. Bado Allah alipeleka kwao Mitume kuwarudisha katika Dini walioifuata wazee wao, Uislam. Wakawapinga na wengine wakawaua.


Amani iwe juu ya Mitume wote.
Umeandika mengi,hongera sana.Inaonekana vitabu unavyosoma wewe no to faut I ma biblia,biblia inamtaja Hajira kama mfanyakazi wa ndani was Sara make was Ibrahim. Ibrahim hakumuoa mama yake Ishmael.Hivyo mzee IBRA alimchaoa nao beki tatu.Msipotoshe
 
Huo ndiyo ujinga wa kizungu kuwaita waarabu waislam, uyahudi ni Imani siyo taifa,Kuna wayahudi wengi Ethiopia

Wayahudi siô wôte Wayahudi kidini wàpo Wayahudi Waislam.
Israel baadaye nickname yake iligeuzwa na kuwa Myahudi wakichukua jina la Wayuda
 
Wayahudi siô wôte Wayahudi kidini wàpo Wayahudi Waislam.
Israel baadaye nickname yake iligeuzwa na kuwa Myahudi wakichukua jina la Wayuda
Hadi QUR'AN,iliyoandikwa Karne ya 6 imesema Kuna wayahudi na waisraeli,hakuna myahudi muislam Bali Kuna waisrael waislam
 
I smell ignorance all over the place, it's freaking disgusting.
 
Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
Mdada upo vizuri...chagua zawadi.
 
Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
😂😂😂😂😂ko wewe ukiona vile wachungaji wa mchongo wanaombea mtu wanamshika kichwa af anaanguka ndo unaamini jina la kristo linamuunguza jini🤣🤣 mtaendelea kuwatajirisha hadi akili ziwakae sawa
 
Wewe mjinga, mnapokuwa washirikina kwa kumuomba asiyekuwa Allah ndio mashetani wanafurahi kwa sababu wanawapoteza. Ndio maana wanawacheza shere, hivyo nyinyi ndio mnadanganywa.

Halafu sisi hatumuombi Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), tunamuomba Allah. Na tunajikinga kwake peke yake atuepushe na mashetani na tunamuomba Yeye tu Allah atuondolee mashetani.
Mashetani hsya mnayoswali nayo misikitini na kuyafuga majumbani mwenu tena yanakaa vichwani mwenu mkiyapandisha baada ya kusoma vifungu fulani vya quran? 🤣
 
Alafuuuuu hii sio vita ya kidini jamani. Haya ni mauaji ya kimbari (Genocide) wanaouliwa na wanaoumia ni raia wa kawaida; wanawake, wanaume, wazee na watoto wadogo. Waisrael wenyewe wanaondoka nchini kwao kwasab hakuna amani na huku Palestine watu wanalipuliwa kila kukicha.
WANAOATHIRIKA NI RAIA SIO WANAJESHI

Kwahiyo acheni ushabiki maandazi
mngejua hao mayahudi wanavouchukia ukristo wala msingewashobokea.
wengi wenu mnatetea Israel kwasab mnahisi ni wenzenu ila ukweli ni kwamba wao hawawatambui wala hawawapendi. Mtu yoyote mwenye utu na mwenye akili timilifu hawez kushabikia haya mauaji wala kuleta udini mnaouleta hapa hakuna dini inayosupport mauaji ya viumbe wasokuwa na hatia unless hio dini ni ya kipumbavu.
 
Back
Top Bottom