Netanyahu akimbia nyumbani kwake. Ahamia kwa rafiki yake kwenye handaki la nyuklia kuhofia usalama wake

Ugum wa kwanza wa gaza ni idadi ya watu. Eneo ni dogo sana halafu ikafuatia hizo turnel so wakipiga tu gaid mmoja lazima raia wawili wafe
 
Aliyeuliwa Uganda ni mjomba wake
 
Umekurupuka, tafuta taarifa sahihi, vingenevyo utaaibika, humu kuna watu makini, wanajua yaliyotokea ,yanayotokea labda yatakayotokea wanaweza wasijue.
 
Hali si shwari kwa Netanyahu nje na ndani ya nchi.
vita itaendelea kuwa ngumu wakati kiongozi wa vita inabidi ajifiche kuhofia usalama wake.
 
Kwamba Ikulu hakuna handaki au? 🤣🤣
 
Hali si shwari kwa Netanyahu nje na ndani ya nchi.
vita itaendelea kuwa ngumu wakati kiongozi wa vita inabidi ajifiche kuhofia usalama wake.
but still anaweza kutoa maelekezo, kwasababu hata alipokuwa huru sana hakuwa anaenda front. ni kutoa maelekezo tu.
 
Alwaz leo utatoa nyuzi ngapi wakati kichapo kinaendelea Gaza.
 
Ninajiuliza nani alijenga hayo mahandaki?Halafu hao hao Israël ndo walitengeneza Hamas ,kama USA walivyomtengeneza Osama bin Laden.
 
Ninajiuliza nani alijenga hayo mahandaki?Halafu hao hao Israël ndo walitengeneza Hamas ,kama USA walivyomtengeneza Osama bin Laden.
acha story za kwenye kahawa mkisubiri ubwabwa wewe.
 
Kamanda wa kikosi kimojawapo cha wayahudi waliojiingiza Gaza, sasa hivi ni mateka wa Wapalestina:

 
Naunga mkono hoja, IDF wakifanikiwa kuwaokoa mateka Kisha kuwaangamiza Hamas bila shaka itakuwa ndio jeshi Bora kabisa Toka Dunia kuumbwa.
 
Baadae usije kulia lia tena maana mmafurahia dakika moja mnalia mwaka
Sisi tunawalilia ndugu zetu Wapalestina miaka yote. Kwa maelfu ya wapalestina wanaouliwa , akitekwa au kuuliwa myahudi mmoja tu ni faraja kwetu.huy9 kamabda kikosi c by ake kizima kilij88bgiza kichwa kichwa, jionee chini hapo:

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…