mwelekeo ulivyo, muda si mrefu kama hamas watakubali kuachia mateka, vita itasitishwa. lakini vijana wameshazingira na kuingia gaza hawawezi kukubali kurudi kirahisi, wana hasira sana na hamas. ila watu ambao watoto wao wametekwa, wana hasira sana na netanyau na hata wakimpiga risasi tusishangae, nadhani ndio maana wamemhamisha. though unachotakiwa kujua ni kwamba Netanyau ni Komandoo hatari sana, hata operation Entebe Uganda alikuja na mdogo wake aliuliwa siku ile ya operation, idi amini alimuua.