Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mik
Nikuulize kitu kaka kama hautojali!!!Zile ndege za kivita,mizinga,deraya,vifaru vya iraq,jordan,misiri,lebanon,sryia na sudan zilikua zimenunuliwa kutoka nchi gani!???Na mshirka mkuu wa Egypt na Syria alikua nani????Afu mada ni ubora wa IDF sio issue za palestina!!!!!!Endelea kaka nakusikiliza na mimi nichangie ndugu yanguIsrael kakutana na Misri,Lebanon,Syria, Palestine na Jordan kimsingi ukitizama hayo mataifa yalikua dhaifu kijeshi na kiuchumi kipindi Israel anakutana nao kivita.
Hapo hapo Israel ilikua ikisaidiwa kimiundombinu ya kijeshi na kifedha na USA.
Hayo mataifa yalikua hayana mshirika mwenye nguvu je unategemea Israel afeli katika hizo vita???
Palestina mpaka sasa hana serikali iliyo stable wala jeshi lililo stable unategemea Israel asimsumbue !??