Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

Wangekua IDF ni jeshi Bora wasingepigwa kule Sinai na Misri,wasingepigwa bint jubeir na Hizbollah.
Mpaka Leo hii Israel ukimtajia Hizbollah unamtonesha kidonda.
Kaka unataka tujadiliane taratibu kama wachambuzi wa medani za kivita au umeongea kishabiki????
 
Wangekua IDF ni jeshi Bora wasingepigwa kule Sinai na Misri,wasingepigwa bint jubeir na Hizbollah.
Mpaka Leo hii Israel ukimtajia Hizbollah unamtonesha kidonda.
Tuanzie sinai na misri kwenye mji wa ismailia mwaka 1973 kwenye vita vya yom Kippur!!!Au unataka tuanzie mwaka 1967 kwenye six days war????Nijuze kaka???
 
Wangekua IDF ni jeshi Bora wasingepigwa kule Sinai na Misri,wasingepigwa bint jubeir na Hizbollah.
Mpaka Leo hii Israel ukimtajia Hizbollah unamtonesha kidonda.
Au tuanzie vita vya mwaka 1982 Beirut au tuanzie vita na wanamgambo wa hezbolah kusini mwa Lebanon!!!!Tuanzie wapi kaka kujadili????
 
Tuanze hata hapo
Hiyo six days war iliyopigwa tarehe 5 mpk 10 km sijakosea February 1967 Israel hakupigana direct confrontation war Bali Kwa kutumia jeshi lake la anga alilipua Kambi ya jeshi la anga la Misri Kesha akahamishia kipigi gollan heights Syria .
 
Nakusikiliza ndugu yangu endelea ila usisahau mada ni ubora wa IDF kwa hiyo wewe uonyeshe madhaifu ya IDF!!!Sawa kaka

Ndio maana 6 days war huwa siipagi mashiko sana.
Tuanzie October war 1973 iloisha 1974 February Kwa mkataba wa Camp david
 
Haya anza kaka nakusikiliza!!!Kumbuka mada ni ubora wa IDF sasa na wewe uonyeshe udhaifu wa IDF!!Sawa kaka
 
Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!
 
Nakusikiliza ndugu yangu endelea ila usisahau mada ni ubora wa IDF kwa hiyo wewe uonyeshe madhaifu ya IDF!!!Sawa kaka
Madhaifu ya IDF naanza kuyaelezea ktk vita ya October kipindi rais wa Misri ni Anwar Sadat.
Israel ilikua inaikalia Sinai ila Misri iliirudisha Sinai Kwa vita ya mizinga na vifaru na jeshi la Israel likaondolewa Sinai mpk kufika mwishoni mwa November kama sijakosea.
 
Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!
Mimi huegemea uhalisia kuliko nadharia.
Six days war siwezi ita ni vita Bora kuliko vita ya Iran na Iraq,kuliko war of jangsari ya 1950s ya S.korea na N.korea,kuliko israel-lebanese war ya 2006.
 
Haya anza kaka nakusikiliza!!!Kumbuka mada ni ubora wa IDF sasa na wewe uonyeshe udhaifu wa IDF!!Sawa kaka
Jeshi Bora mimi navyofaham hupimwa Kwa umahiri wa sehem zote za vita(ardhini,majini,angani).
Pia hupimwa Kwa ubora wa silaha za kivita kuanzia bunduki,mizinga,maroketi,makombora mpk ndege.
 
Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!
Halafu embu pima Israel kakutana na nani mpaka wewe unamuita yeye ana jeshi Bora.
 
Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!
Israel kakutana na Misri,Lebanon,Syria, Palestine na Jordan kimsingi ukitizama hayo mataifa yalikua dhaifu kijeshi na kiuchumi kipindi Israel anakutana nao kivita.
Hapo hapo Israel ilikua ikisaidiwa kimiundombinu ya kijeshi na kifedha na USA.
Hayo mataifa yalikua hayana mshirika mwenye nguvu je unategemea Israel afeli katika hizo vita???
Palestina mpaka sasa hana serikali iliyo stable wala jeshi lililo stable unategemea Israel asimsumbue !??
 
S
Madhaifu ya IDF naanza kuyaelezea ktk vita ya October kipindi rais wa Misri ni Anwar Sadat.
Israel ilikua inaikalia Sinai ila Misri iliirudisha Sinai Kwa vita ya mizinga na vifaru na jeshi la Israel likaondolewa Sinai mpk kufika mwishoni mwa November kama sijakosea.
Sasa ndio uelezee jeshi la msiri lilirudisha vipi eneo la sinai na jeshi la Israel liliondolewa vipi????Na uieleeze penetration ya jeshi la msiri mpaka sinai je yalikua madhaifu ya IDF na penetration ya jeshi la Israel mpaka mfereji wa suez karibu na ismailia je yalikua madhaifu ya IDF????Na ulezee siege ya wanajeshi wa msri waliovuka jangwa la sinai kutokea suez canal je ilikua madhaifu ya IDF?????Na uelezee mikasa ya mateka wa kivita wa pande zote mbili na propaganda zake?????Nakusikiliza kaka
 
Israel kakutana na Misri,Lebanon,Syria, Palestine na Jordan kimsingi ukitizama hayo mataifa yalikua dhaifu kijeshi na kiuchumi kipindi Israel anakutana nao kivita.
Nifafanulie vizuri kaka katika mtazamo wa kijeshi na medani za kivita!!!!Nakusikiliza ili na mimi nichangie kaka
 
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine.

Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita.

Kulingana na Netanyahu, Israel hata iko tayari kuangalia uwezekano wa kupeleka mfumo wa hivi karibuni wa ulinzi wa anga, Iron Dome air defense, kulilinda anga la Ukraine, ingawa awali Israeli ilisistiza kuwa mfumo huu haukulengwa kutumiwa kwa matumizi ya aina hiyo katika maeneo kama Ukraine.

Netanyahu hakutoa ahadi za kipekee, lakini pia alisema kwamba yuko tayari kuwa mpatanishi katika mzozo iwapo pande zinazohasimiana na Umoja wa Mataifa watakubali kufanya hivyo.

Kulingana na Bw Netanyahu, alikuwa amepewa pendekezo la aina hiyo mwanzoni mwa vita, lakini wakati huo alikuwa ni kiongozi wa upinzani na hakuchukua jukumu la upatanishi.
Putin wakimshinda kashinda, na akishinda kashinda
Napenda sana Spirit ya Putin, JPM, Gaddafi, Saddam Hussein

Yaani watu wanaishia tu kusema fulani ni dikteta lakini ni mtu anapigani either ardhi yake, mipaka yake au usalama wa nchi na watu wake
 
Back
Top Bottom