Kama unazungumzia stinger ya Afghanistan basi siku zile ilikua tech mpya na Bora ukilinganisha na vifaru vya USSR.. NATO na USA wanahangaika huko Ukraine,kidume kinapambana na makuwadi wa ushoga na panachimbika,maisha magumu ulaya kiasi wanakula vyakula vya paka na mbwa na maandamano yasoisha,kule Syria aliwafurusha,hizo ndiyo dalili za supa pawaHuyu Supa-pawa wa mchongo aliyekimbizwa na stinger ana jipya gani ?