Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

Apeleke tu, mara Putin nae anatuma Wagner na silaha kwake huko wakasaidie wapalestina
 
Israel hana silaha za kuisaidia Ukraine, uwezo wa Israel sana sana ni vita vya mtaani vya bunduki na siyo kukabiliana na giant wa kivita kama Russia.

Mfumo wa Iron Dome air defence system ni kwaajili ya kuzuia maroketi ya kienyeji toka Gaza kwa wapelistina walionyang'anywa ardhi yao. Huo mfumo hauwezi ku intercept hata mifumo ya kizamani ya makombora ya BM-21.

Urusi mpka sasa anagawa kichapo dhidi ya silaha na majeshi mbali mbali yenye teknolojia tofauti tofauti uje umpelekee silaha za hao wagalatia?

Russia kiuhalisia ana uwezo mkubwa sana wa kijeshi.
 
Israel ilishawahi pigana na Misri, Syria, Jordan, Lebanon na Iraq. Kati yao nani alimshinda Israel?

Egypt na Syria zilipoungana kupigana na Israel kwenye Yon Kippur war nani alishinda?

Kwenye Six Days war walipoungana Waarabu nchi tano dhidi ya Israel nani alishinda?
 
Iron dome uipeleke Ukraine wakati makombora ya Hamas ya kutengeneza kienyeji yanapita!!?..hivyo vifaru hizbullah walivifumua kwelikweli 2006
Umeandika ushabiki na ujuaji tu...mbona Ukraine waliomba wapewe hizo Iron dome ?....Kuna kifaru hakijawahi kufumuliwa ?
 
R
meandika ushabiki na ujuaji tu...mbona Ukraine waliomba wapewe hizo Iron dome ?....Kuna kifaru hakijawahi kufumuliwa ?
Russia umuwekee iron dome!!?...Kama unakubali vifaru vilifumuliwa..huo ushabiki unao dai ninao umetoka wapi!?
 
Israel ilishawahi pigana na Misri, Syria, Jordan, Lebanon na Iraq. Kati yao nani alimshinda Israel?

Egypt na Syria zilipoungana kupigana na Israel kwenye Yon Kippur war nani alishinda?

Kwenye Six Days war walipoungana Waarabu nchi tano dhidi ya Israel nani alishinda?
Hiyo vita USA na Uingereza walitoa misaada ya silaha, na upelelezi. Usiwe brain washed boss.

Israel amewashindwa Hezibollah ataiweza Russia?
 
Back
Top Bottom