Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

Huyu Supa-pawa wa mchongo aliyekimbizwa na stinger ana jipya gani ?
Kama unazungumzia stinger ya Afghanistan basi siku zile ilikua tech mpya na Bora ukilinganisha na vifaru vya USSR.. NATO na USA wanahangaika huko Ukraine,kidume kinapambana na makuwadi wa ushoga na panachimbika,maisha magumu ulaya kiasi wanakula vyakula vya paka na mbwa na maandamano yasoisha,kule Syria aliwafurusha,hizo ndiyo dalili za supa pawa
 
Israel ilishawahi pigana na Misri, Syria, Jordan, Lebanon na Iraq. Kati yao nani alimshinda Israel?

Egypt na Syria zilipoungana kupigana na Israel kwenye Yon Kippur war nani alishinda?

Kwenye Six Days war walipoungana Waarabu nchi tano dhidi ya Israel nani alishinda?
Alipewa dozi na modogo wa ki Lebanon ndo ukawa mwisho wa ubabe wake
 
Hiyo vita USA na Uingereza walitoa misaada ya silaha, na upelelezi. Usiwe brain washed boss.

Israel amewashindwa Hezibollah ataiweza Russia?
Hiyo hiyo vita USSR, Morroco, Saudi Arabia, North Korea na nyinginezo zilitoa misaada kwa Israel. Kwanini uone msaada wa Marekani tu.

Hezbollah wameishindaje Israel. Lengo la Hezbollah ni kuifuta Israel hapo Middle East, Israel imeondoka? Unawezaje shinda vita na lengo la vita halijakamilika wala battle hujashinda
 
Israel hawezi kufanya hivyo.... Russia anaweza kumjibu haraka sana kwa kumpatia siraha Iran ambao ni wapinzani wakubwa wa israel.. na ndo maana wapo kimya wanahofia hilo..
Israel yuko advanced sana, kama Ukraine anaisumbua Russia pamoja na silaha zote kutumika ndo sembuse wataalamu wa Israel?
 
Za marekani,f14,16 za marekani, Israel ana bunduki zake za urban warfare,hazihitajiki Ukraine,usifikiri wapalestina ni jeshi serious..watu tu na bunduki mitaani basi,Tena bunduki zimeingzwa kimagendo
F14 anazo Iran
Israel ana F15E, F16, F35
 
Alipewa dozi na modogo wa ki Lebanon ndo ukawa mwisho wa ubabe wake
Hezbollah ni chama chenye military wing kile, sio serikali. Kama ingekuwa ni vita ya Israel vs Lebanon nchi kwa nchi Lebanon ingepigwa vibaya. Ndio maana baada ya vita serikali ya Lebanon ikafanya deployment ya majeshi yenyewe ili kuzuia utata wa Hezbollah. Wanachokoza kisha nchi inaumia sababu yao
 
Israel hawezi kufanya hivyo.... Russia anaweza kumjibu haraka sana kwa kumpatia siraha Iran ambao ni wapinzani wakubwa wa israel.. na ndo maana wapo kimya wanahofia hilo..
Sasa ndio Israel washasema wanafikiria hilo ila wewe hutaki unadai hawawezi. Na nani kakwambia Israel inaiogopa Russia, mbona inafanya mashambulizi Syria na Russia yupo hapohapo, uliwahi sikia Russia amejibu mashambulizi. Kwa mantiki hiyo kwanini usiseme Russia ndio inaogopa Israel.

Mbona Israel iliipa silaha Azerbaijan mwaka 2020 ikapigana na Armenia iliyokuwa na silaha za Urusi, ikaharibu hizo silaha kina S-300 kwa zana za Israel ikashambulia na kambi ya walinda amani wa Urusi na hakuna response ilitokea.
 
Hezbollah ni chama chenye military wing kile, sio serikali. Kama ingekuwa ni vita ya Israel vs Lebanon nchi kwa nchi Lebanon ingepigwa vibaya. Ndio maana baada ya vita serikali ya Lebanon ikafanya deployment ya majeshi yenyewe ili kuzuia utata wa Hezbollah. Wanachokoza kisha nchi inaumia sababu yao
Ingia YouTube kwenye top 5 ya makomando bora duniani wapo wana balaa zito Israel ilipewa dozi MPAKA ikaamua kupoga makazi ya watu hivyo ili jamii ya kimataifa iingilie mwishowe Israel ikasalimu amri yenyewe
 
Ndugu yangu huna akili itoshe tu kusema ivyo na kama unazo basi ubongo wako haufanyi kazi mzee
 
Israel aendelee kupambana na vikundu huku game imewatoa kamasi Kaka zake USA,Germany,UK,France na UE nzima yeye ni kama tone la maji kwenye bahari.
 
Ingia YouTube kwenye top 5 ya makomando bora duniani wapo wana balaa zito Israel ilipewa dozi MPAKA ikaamua kupoga makazi ya watu hivyo ili jamii ya kimataifa iingilie mwishowe Israel ikasalimu amri yenyewe
Ubora wa makomandoo tuutazame YouTube? Mzee jeshi unaliona kama kina Harmonize na Babu Tale au nini.

Hezbollah ina chini ya 20% ya seats za bunge, hata kuongoza Lebanon haiwezi
 
Kumbe we naye mvaa pedo
Mimi naujua ukristo wa kweli na ninacho sema ni kwamba huu wa sasa uliopo duniani siyo ukristo ni uhuni tu. Na nina zijua dini zote vizuri sana.
 
Back
Top Bottom