Netanyahu apata kiwewe cha vita.Ataka vita vimalizike Rafah kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani

Netanyahu apata kiwewe cha vita.Ataka vita vimalizike Rafah kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani

Mambo ya kufuatilia mtu mmoja mmoja kujifariji kumeshawafedhehesha mayahudi huko nyuma.
Walimtangaza Mohammed Sinwar kuwa wamemuua na picha ya maiti yake kuisambaza.Kumbe jamaa alikuwa amepewa majukumu mengine makubwa zaidi na ndiyo yale matayarisho ya oktoba 7.
Abu Ubaida hata picha yake hawajaiona.Wameona kimya tu.Atakuwa amepokezana majukumu na wenzake na ndio maana kila siku wanatoa taarifa za mashambulio yao dhidi ya IDF kama yale ya juzi maeneo ya Gaza ya kati.
Unaleta ubishi wakati wenzako soon wanaenda kula bikra 72 huko shauri yako

View: https://twitter.com/Osint613/status/1756650236049600903?t=bDAm4z-QDZLsokMpU3Ichw&s=19
 
Back
Top Bottom