Netanyahu asalimu amri baada ya kichapo cha Hezbollah

Huwa sisomi propaganda.

Jionee mambo hayo👇🏾👇🏾👇🏾
Your browser is not able to display this video.
 
Mleta mada bila kumkutanisha la Baltazar ni kazi bure ataendelea kushusha uhalo tu humu
Nafahamu, imekuuma sana. Utazowea tu, vita haijaisha. Ni mapigano tu yamesitishwa, tena kwa muda.
Ni ushindi mkubwa kwa Hezbollah, lakini ni ahueni kibwa kwa nyau. mambo yalimwendea vibaya sana, anapata kupumuwa.
 
Kwamba mtu akiwa upande wa palestina ni kabazi? Kawaida yangu napenda kukaa upande wa haki.
Endelea kuwa kobazi mkuu na ujitapbulishe usijifiche ahamafu unakumbuka kwakua ni mtu wa kulopoka kwenye Kila mada eti haki kwahiyo haki Kila siku kobazi ndio wanaonewa sio halafu ungekua unapennda haki usingesema wapigwe acha uzuzu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ningependa kuwa kobazi nakua tu fasta ila sina sababu ya mimi kuwa na imani yoyote ya Mungu , sijui kama unaelewa 🤔
 
Ningependa kuwa kobazi nakua tu fasta ila sina sababu ya mimi kuwa na imani yoyote ya Mungu , sijui kama unaelewa 🤔
We ni kobazi tusipotezeane mda hapa sisi sio watoto naona unaakili za kitoto mzee ukikua utaacha maana unajitekenya halafu unacheka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani Yahudi na kafiri tofauti yao nini?? Huoni hao wanaoitwa makafiri wamewasaidia wanawake na watoto kwenye vita kwa kuandaa mkataba huku ALLAH akiwa kajificha!
Katika uislam kufa ni moja ya mitihani Allah aliyotuandalia.
Vipi ninyi makafiri Yesu amewalinda dhidi ya makombora ya Hizbollah!?
Mbona mmekimbia Kaskazini na kuacha makazi yenu?
 
Walipiga wapi na Israel ilipata madhara gani?
Nenda katika vyombo vya habari vyovyote hata BBC ukitaka,Hizbollah imeshambulia sana Galilaya kiasi wakazi takriban laki tatu wamekimbia Galilaya Sasa hivi Galilaya tupu haina wakaaji.
Kambi ya jeshi ya Galilaya nayo haifanyi kazi Kwa kushambuliwa mara Kwa mara.
Miji inayoanzia na Kiryat mathalan Kiryat shmona imeshambuliwa sana.

Tel aviv nako kimeshambuliwa wiki iliyopita na majengo yameharibika.
 


Kobazi Ndio wanafiki pro max, hata abaki mmoja Duniani atajiua, hapo ni Kiongozi wa Hamas akiwa na Kiongozi wa Waasi wa Syria wanaompinga Assad anayeungwa mkono na Iran na Hezbollah.

Yaani kumbe Assad alichinja mbuzi huyu kima alivoliwa kichwa.

Wapalestina wa Syria nao walichinja mbuzi Nashrallah alivoliwa kichwa...
Hawa Watu kama wao kwa wao hawapendani kiasi hichi Hadi Cha kuchinjana, alafu mtu yuko Lindi anajiita mwarabu, 😒 WTF
 
Una uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…