Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao.

Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa lugha ya Kiebrania kuwa "Ni wakati wa wewe kuondoa UNIFIL kutoka ngome za Hezbollah na kutoka katika maeneo ya mapigano."

"Mheshimiwa Katibu Mkuu, ondoa vikosi vya UNIFIL kwenye hatari. Inapaswa kufanywa sasa hivi, mara moja," Netanyahu anasema kwa Kiingereza.

"IDF imerudia kuomba hili, na imekabiliwa na kukataliwa mara kwa mara, yote yakilenga kutoa ngao ya kibinadamu kwa magaidi wa Hezbollah," anasema Netanyahu

Kukataa kwenu kuwahamisha wanajeshi wa UNIFIL kunawafanya kuwa mateka wa Hezbollah,” anasema Netanyahu. "Hii inahatarisha wao na maisha ya askari wetu."

Netanyahu anasema Israel "inajutia jeraha" kwa walinda amani, na kwamba Israeli inafanya kila iwezalo kuzuia hilo kutokea.

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

51min ago
PM: UN must withdraw south Lebanon peacekeepers from combat zone, Hezbollah using them as human shield

By Lazar Berman

Prime Minister Benjamin Netanyahu calls on UN to withdraw peacekeepers from south Lebanon on October 13, 2024 (Screen grab/GPO)

The tensions between Israel and the United Nations peacekeeping force in southern Lebanon continue to escalate, with Prime Minister Benjamin Netanyahu calling for the UNIFIL soldiers to be withdrawn from combat areas.

Addressing UN Secretary-General Antonio Guterres, Netanyahu says in a Hebrew-language message, “It is time for you to withdraw UNIFIL from Hezbollah strongholds and from the areas of combat.”

“The IDF has repeatedly asked for this, and has been met with repeated refusals, all aimed at providing a human shield to Hezbollah terrorists,” says Netanyahu.

“Mr. Secretary General, get the UNIFIL forces out of harm’s way. It should be done right now, immediately,” Netanyahu says in English.

UNIFIL says the IDF has hit a number of UNIFIL posts, including the headquarters at Naqoura. UNIFIL soldiers have been lightly injured in the incidents.

“Your refusal to evacuate the UNIFIL soldiers makes them hostages of Hezbollah,” says Netanyahu. “This endangers both them and the lives of our soldiers.”

Netanyahu says Israel “regrets the injury” to the peacekeepers, and that Israel is doing whatever it can to prevent that happening.

“But the simple and obvious way to ensure this is just get them out of the danger zone,” says Netanyahu.

The prime minister says European leaders should be criticizing Hezbollah, not Israel, for using UNIFIL as a “human shield.”
 
Anayejificha nyuma ya umoja wa mataifa hapo ni nani!?
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-07-20-10-18-898.jpg
    Screenshot_2024-10-07-20-10-18-898.jpg
    483.3 KB · Views: 8
The so called UN peace keepers in Lebanon will be the cannon fodders and the UN will be held accountable for any danger that will face them.
 
Wahuni wanadrone zinazoenda kuangalia muda wakula kisha wakianza kula wanazipeleka kama Menu package.
 
The so called UN peace keepers in Lebanon will be the cannon fodders and the UN will be held accountable for any danger that will face them.
Akawabandike papuchi askari wake wasenge
 
Wadau hamjamboni nyote?

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao.

Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa lugha ya Kiebrania kuwa "Ni wakati wa wewe kuondoa UNIFIL kutoka ngome za Hezbollah na kutoka katika maeneo ya mapigano."

"Mheshimiwa Katibu Mkuu, ondoa vikosi vya UNIFIL kwenye hatari. Inapaswa kufanywa sasa hivi, mara moja," Netanyahu anasema kwa Kiingereza.

"IDF imerudia kuomba hili, na imekabiliwa na kukataliwa mara kwa mara, yote yakilenga kutoa ngao ya kibinadamu kwa magaidi wa Hezbollah," anasema Netanyahu

Kukataa kwenu kuwahamisha wanajeshi wa UNIFIL kunawafanya kuwa mateka wa Hezbollah,” anasema Netanyahu. "Hii inahatarisha wao na maisha ya askari wetu."

Netanyahu anasema Israel "inajutia jeraha" kwa walinda amani, na kwamba Israeli inafanya kila iwezalo kuzuia hilo kutokea.

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

51min ago
PM: UN must withdraw south Lebanon peacekeepers from combat zone, Hezbollah using them as human shield

By Lazar Berman

Prime Minister Benjamin Netanyahu calls on UN to withdraw peacekeepers from south Lebanon on October 13, 2024 (Screen grab/GPO)

The tensions between Israel and the United Nations peacekeeping force in southern Lebanon continue to escalate, with Prime Minister Benjamin Netanyahu calling for the UNIFIL soldiers to be withdrawn from combat areas.

Addressing UN Secretary-General Antonio Guterres, Netanyahu says in a Hebrew-language message, “It is time for you to withdraw UNIFIL from Hezbollah strongholds and from the areas of combat.”

“The IDF has repeatedly asked for this, and has been met with repeated refusals, all aimed at providing a human shield to Hezbollah terrorists,” says Netanyahu.

“Mr. Secretary General, get the UNIFIL forces out of harm’s way. It should be done right now, immediately,” Netanyahu says in English.

UNIFIL says the IDF has hit a number of UNIFIL posts, including the headquarters at Naqoura. UNIFIL soldiers have been lightly injured in the incidents.

“Your refusal to evacuate the UNIFIL soldiers makes them hostages of Hezbollah,” says Netanyahu. “This endangers both them and the lives of our soldiers.”

Netanyahu says Israel “regrets the injury” to the peacekeepers, and that Israel is doing whatever it can to prevent that happening.

“But the simple and obvious way to ensure this is just get them out of the danger zone,” says Netanyahu.

The prime minister says European leaders should be criticizing Hezbollah, not Israel, for using UNIFIL as a “human shield.”
kawa nani yeye natanyahu?yote ni kwa ajili ya uchaguzi wa oct 26 ipo siku atajuta kwa hayo afanyayo
 
Kwenye hao askari wa UN, pia vijana wetu wa JWTZ wapo pia, so kabla ujaandika mahaba yako kwa israel, uwe unafikiria kwanza
Wanawakinga magaidi. Au hujasoma tamko la Netanyahu kwamba uwepo wao unawaweka hatarini wao pamoja na IDF
 
Back
Top Bottom