Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

Ukraine ni wazungu wanapigana profession war yaani wanajeshi hawajikingii ngao kwa raia

Sasa hao wala tende hapo middle east wanatupa tukombora halafu wanajidisguise Kama raia vile.

Ndo maana mzayuni anafagia chochote, watoke hadharani wavae uniform uone Kama hata siku itaisha
Hamas ni harakati ya Palestina inayofanya kazi kiasi ikiwa na malengo ya kujikomboa kutoka katika makucha ya Israel.

Ndani ya Hamas kuna tawi la kijeshi linalojulikana kama "Izz ad-Din al-Qassam Brigades" hawa ndiyo wanajeshi.

Kwanini Netanyahu hatofauru kuifuta HAMAS?
Hamas ni wazo la Raia wote wa Palestina sio Gaza tu ambako Hamas kama political part inaongoza ila mrengo wa wazo huko kuiweka Palestina yote mpaka Ukingo wa Magharibi kuwa huru dhidi ya Israel.

So ili kuifuta Hamas basi ua watu wote Palestina kuanzia Gaza mpaka Western Bank maana wote hawataki kutawaliwa na Israel.
 
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.

Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.

Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao, wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.

Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake. Wamebaki wanateseka tu.

Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.

Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.

Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.

Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.

Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure. Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.

Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.

Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.

Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.

Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

BADO HAMJASEMA................................. BADO SANA.
 
Msipo jiwahi mtajikuta mmebaki nyinyi wenyewe na Hamas na Ayatollah wenu anayepiga mabusu vitoto vidogo.
Huko Duniani World Council of Imams wameisha wasitukia Hamas pamoja na mabwana zao Iran

View: https://x.com/Osint613/status/1830654037458600316
 
Sitazungumzia sehemu inayoihusu US, ila Netanyahu ni kiongozi shupavu kabisa. Njia yake ya uongozi ndio inapaswa kufuatwa ikiwa umepakana na Waarabu, kanuni ni moja "show them no mercy". Hakuna kiongozi ambae angefumbia macho uhalifu wa Hamas walioufanya siku ile. Tena Israel anapigana vita ya kiungwana sana kwa kutoa misaada kwa Wapalestina, kuwapata maelekezo ya njia za kupita ila wawe salama.

Mambo ya kuabudu laana za watoto teule ndiyo haya.
 
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.

Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.

Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao, wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.

Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake. Wamebaki wanateseka tu.

Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.

Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.

Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.

Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.

Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure. Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.

Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.

Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.

Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.

Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

Netanyahu shikilia hapo hapo
 
Kuna funzo zaidi ya kaka yake kupigwa risasi uganda akikamilisha operation ya entebe sidhani kama kuna kitu cha mtisha hyo jamaa
 
Back
Top Bottom