Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

Kilichofanyika oktoba 7 kuna upotoshaji na utiaji chumvi mwing.Matukio mengi ya siku hiyo hayakurekodiwa na kwa vile msemaji ni Israel peke yake ni vigumu kupata uthibitisho.Kuna mengine yamekanushwa na vyombo vya habari vya huko huko Israel
Ukija kwa Gaza matukio hayo mengi yamekuwa yakirushwa moja kwa moja.Tumekuwa tukiwaona watoto wakifa na ndugu zao wakipiga mayowe kwa huzuni karibu kila siku kwa mwezi unaoingia wa 8 sasa.
Hakuna ukweli hapo 👆 👆. eti upotoshaji na utiaji chumvi mwingi. Kwamba Tukio la oktoba 7 ni la uongo? Yani hata waTz waliotekwa na kuUawa ni uongo?
Dah! Ngoja Israel awafunze uungwana na kusema ukweli.
 
Netanyahu is nothing more than a puppet, the real masters are concealed.
 
Ni rahisi kubwabwaja kwa kuwa ndio uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo, wewe upo ileje wakati waisrael ambao ndugu zao wametekwa au kuuliwa kwenye mzozo huu na bado wanaandamana hawamtaki netanyahu kwakuwa kafeli wao hawahitaji kuona raia wa paleatina wakiuliwa wanataka kuishi kwa amani na majirani zao, wanataka mateka wao waachiwe
Ila wewe upo kwenu ileje umeshiba makande unashangilia ujinga wakati huyo netanyahu keshapoteza ramani ya vita anatapatapa tu
Mkuu embu tufafanulie, chanzo cha vita hii ni nini?
 
Kwa hiyo unaunga mkono Hamas walipofanya ugaidi kwa kuwaua watoto, wanawake na wazee wa Israel pamoja na kuwateka mamia ya wananchi wa Israel?
Nadhani nenda kwenye page ya senator wa marekani bwana bernie senders ambaye yeye yupo karibu sana na waisrael kuliko wewe wa nanjilinji huyu muheshimiwa ameelezea vizuri sana mzozo huu kuliko kukaa hapa na kubwabwaja bila ya kutumia akili
 
Acheni mateka Vita iishe, kulialia wakati mnaendelea kushikilia mateka wao ni kutafuta kwenda ahera bila nauli
Tatizo siyo mateka ndio maana nasema nyie wakristo wa tanzania tatizo lenu ni elimu hamjui hata kinachoendelea duniani ila mmeshakaririshwa vichwa vyenu haviwezi kufikiria tena
 
Acheni mateka Vita iishe, kulialia wakati mnaendelea kushikilia mateka wao ni kutafuta kwenda ahera bila nauli
Ukiangalia nguvu za jeshi la Israel na kwamba wameshafika mpaka Rafah basi hakuna tena mantiki ya Israel kuwadai mateka kutoka kwa Hamas.Kinachotakiwa ni kukiri tu kwa Israel kuwa tumeshindwa kuwapata mateka kwa njia ya vita.
Israel ikiacha kuona haya kuhusu hali vita basi ndio vita vitaisha haraka.
 
Uwe unafuatilia international news ili uweze kuongea vitu vya maana humu jf, go to school
'Go to school' ni jibu la hovyo kabisa linaonesha ulivyo mamuma na mdini.

Kukuuliza swali siyo kwamba siyajui majibu, ni kama mwalimu ninayekutungia mtihani niuone mtindio wako wa ubongo upoupoje.

Huna lolote unalolielewa juu ya historia ya chanzo cha vita hiyo, ama unaelewa lakini unajifanya haujui kwa sababu ya udini.
 
Hapana mimi sina mambo ya udini ila watu mmekuwa wavivu wa kufikiria mmekuwa mkilaumu na kutoa lawama kirahisi bila ya kufikirisha ubongo , wote tunajua yaliyotokea oct 7 lakini jiulize before october 7 isarel walikuwa wanawatreat vipi wapalestina?
haya leo palestina wamekubali ceasefire na kukubali kuachia mateka unajua nani anayekataa ceasefire na kwa nini?
Unajua kwanini wananchi wa israel wanaandamana kutaka netanyahu aresign?
 
Kilichofanyika oktoba 7 kuna upotoshaji na utiaji chumvi mwing.Matukio mengi ya siku hiyo hayakurekodiwa na kwa vile msemaji ni Israel peke yake ni vigumu kupata uthibitisho.Kuna mengine yamekanushwa na vyombo vya habari vya huko huko Israel
Ukija kwa Gaza matukio hayo mengi yamekuwa yakirushwa moja kwa moja.Tumekuwa tukiwaona watoto wakifa na ndugu zao wakipiga mayowe kwa huzuni karibu kila siku kwa mwezi unaoingia wa 8 sasa.
Mbona hamas walijirekodi na kurusha video mitandaoni jinsi wanaua wayahudi kikatili na jinsi wanavyoteka raia upotoshaji upi sasa mbona unabisha kinafiki
 
Tatizo siyo mateka ndio maana nasema nyie wakristo wa tanzania tatizo lenu ni elimu hamjui hata kinachoendelea duniani ila mmeshakaririshwa vichwa vyenu haviwezi kufikiria tena
Kwa hiyo elimu yenu ya madrasa huwa mnajiona mna akili sana au mmefundishwa uwongo na ubishi
 
Kwa upande wangu naumia sana kuhusu yanayoendelea congo hayo mengi hayanihusu kwakweli
 
Kwa hiyo elimu yenu ya madrasa huwa mnajiona mna akili sana au mmefundishwa uwongo na ubishi
Atleast tuna uwezo mkubwa wa kufikiria kuliko mtu anayekariri halafu anashindwa kufikiria ambaye anadanganywa mungu kazaliwa na mwanamke halafu akafa ila kabla hajafa nayeye aliomba msaada kwa mungu
Na hadi leo mnaweka picha ya muigizaji wa kiitaliano makanisani na majumbani mwenu na mnamuita mungu halafu mnasema mna akili timamu, kama hiyo ndio elimu bora nibakulue na elimu ya madrasa lakini niwe na uwezo wa kufikiria
 
Sitazungumzia sehemu inayoihusu US, ila Netanyahu ni kiongozi shupavu kabisa. Njia yake ya uongozi ndio inapaswa kufuatwa ikiwa umepakana na Waarabu, kanuni ni moja "show them no mercy". Hakuna kiongozi ambae angefumbia macho uhalifu wa Hamas walioufanya siku ile. Tena Israel anapigana vita ya kiungwana sana kwa kutoa misaada kwa Wapalestina, kuwapata maelekezo ya njia za kupita ila wawe salama.
Huyu ndio warabu wanamtaka kama hufahamu.

Kila vita ikiendekea Israel ndio inazidi kula hasara tazama kipigo jana hicho kakipokea tokea kwa Hezbullah pale Golan.

View: https://youtu.be/V_z0OIpodzA?si=XKivDaq3MM2S7jKF
 
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.
Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.
Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao,wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.
Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake.Wamebaki wanateseka tu.
Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.
Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.
Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure.Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.
Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.
Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.
Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.
Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

Kama huwazungumzii HAMAS basi hiki ulichoandika ni UCHAFU UNAONUKA
 
Bado msimamo wake uko pale pale! Israel haitasitisha Vita mpaka kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na Matekao wote kuachiliwa.
 
Netanyahu kwanza ajinasue kwenye kitanzi cha icc
Pili apambane na waisrael ambao wamemchoka na amewaweka wote hatarini kwa ujinga wake

Kwa taarifa yako bado anawatafuna kichwa, namba zinasogea kusoma 40,000
Huwa mnajinasibu kama mabingwa wa majini na muaganga yote kwenye hiyo dini, mumeshindwa kumfanya kitu Netanyahu.
 
Ni rahisi kubwabwaja kwa kuwa ndio uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo, wewe upo ileje wakati waisrael ambao ndugu zao wametekwa au kuuliwa kwenye mzozo huu na bado wanaandamana hawamtaki netanyahu kwakuwa kafeli wao hawahitaji kuona raia wa paleatina wakiuliwa wanataka kuishi kwa amani na majirani zao, wanataka mateka wao waachiwe
Ila wewe upo kwenu ileje umeshiba makande unashangilia ujinga wakati huyo netanyahu keshapoteza ramani ya vita anatapatapa tu
Huwezi kuishi kwa amani majirani magaidi. Lazima watakuvizia na kukuchinja tu kama ilivyofanyika Oct 7.
 
Back
Top Bottom