Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.
Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.
Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao,wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.
Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake.Wamebaki wanateseka tu.
Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.
Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.
Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure.Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.
Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.
Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.
Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.
Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

Netanyau anaongoza muungano wa kisiasa unaoundwa na vyama vyenye mrengo mkali wa kulia vyenye misimamo mkali dhidi ya Wapalestina.

Hawa wanamshinikiza Netanyau kuendeleza vita huku wakitishia kuivunja serikali yake, Netanyau hana namna zaidi ya kukubali Ili kuokoa serikali yake na hatima yake ya kisiasa isiyojulikana ikizingatiwa pia ana tuhuma za rushwa zinamsubiri.
 
Hakuna kilichofanyika Ukraine mpaka sasa ukalinganisha na yale mauwaji kwenye mahospitali ya Ashifaa na makambi ya wakimbizi.
Kue Bakhmut na Mariupol urusi ilitumia moto mkali sana lakini dhidi ya wanajeshi wa Ukraine mpaka wakasalimu amri.
Ukraine ni wazungu wanapigana profession war yaani wanajeshi hawajikingii ngao kwa raia

Sasa hao wala tende hapo middle east wanatupa tukombora halafu wanajidisguise Kama raia vile.

Ndo maana mzayuni anafagia chochote, watoke hadharani wavae uniform uone Kama hata siku itaisha
 
Kwa kasi uliyojibu naamini uliwahi kusoma kichwa cha habari tu halafu kwa kiherehere chako cha kuwapenda mashoga ukajibu.
Wewe ulijibu saa 7.25 mimi niliposti saa 7.22 na nusu.Dakika 2.30 hazingetosha kusoma ukurasa mmoja nilioandika na kufahamu nilichokusudia.
So you believe kua you're the only source ya hiyo habari. I met similar information kwa Tweeter, read it, understood it, you're just parroting what other have pondered. You don't control narrative
 
Hakuna kilichofanyika Ukraine mpaka sasa ukalinganisha na yale mauwaji kwenye mahospitali ya Ashifaa na makambi ya wakimbizi.
Kue Bakhmut na Mariupol urusi ilitumia moto mkali sana lakini dhidi ya wanajeshi wa Ukraine Fuatilia vizuri taarifa za vifo vya vifo hasa kule Bucha, Urusi aliteka mpaka watoto wadogo.
 
Anaopata darasa hapa ni netanyahu, huku raia wake wakiandamana kwa maelfu wakitaka ajiuzulu kwa kushindwa kuwarudisha mateka na kuwapa amani waisrael duniani kote
RAia wa israel haijamtaka aue watu hovyo inataka awaue hamas ,iwarejesha mateka wao na kujenga amani na jirani zake na hicho ndicho metanyahu alichoahidi wakati anaingia kwenye uwaziri mkuu ambavyo hadi sasa vyote kashindwa, nq matokeo yake kawa muhalifu anatafutwa na icc
Wqziri wake wa vita amempa netanyahu hadi june 8 akishindwa kuja na post war plan basi atajiuzulu hawezi kuongozwa na kiongozi ambaye hana vision
Netanyahu Apambane na hali yake

Wanaopata darasa ni wavaa kobaz, kama itatokea muichokoze Israel tena nitakubali kweli mumepania kurubuni watu wenu, sasa hivi namba za vifo vyenu vinaelekea kuchezea 40,000 yote hiyo kisa mliteka watoto wa Wayahudi. allah wenu kaakimbia.
 
Anapewa Jeuri na zionists wenzake wanaocontrol dunia #The Rothschild family hao ndio vitukuu vya shetani,,mpango wao ni kufuta Palestine wajenge hekalu la Mungu wao wanaomsubir (ant-chris )
 
IMG_3134.jpeg

Hawajifunzi hawa viumbe,,,mwenzake alioza kabla ya kufa alikua anatokwa na funza kila kona
 
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.
Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.
Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao,wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.
Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake.Wamebaki wanateseka tu.
Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.
Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.
Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure.Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.
Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.
Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.
Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.
Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

Atakuwa ni kiongozi wa mfano aliyetoa funzo kwa magaidi na vizazi vyao siku nyingine wajue israel sio taifa la kuchezewa
 
Kwanini mnaiandama israel kwa vifo vya watoto na wanawake wakati Urusi ilifanya mauaji ya waukraine wasio na hatia kule Bucha , lyman upo ushahidi raia waliteswa, walibakwa, waliuawa hadi makaburi ya halaiki ili hali hata ukraine haikuanzisha vita lakini hamas waliichokoza israel
 
Wanaopata darasa ni wavaa kobaz, kama itatokea muichokoze Israel tena nitakubali kweli mumepania kurubuni watu wenu, sasa hivi namba za vifo vyenu vinaelekea kuchezea 40,000 yote hiyo kisa mliteka watoto wa Wayahudi. allah wenu kaakimbia.
Netanyahu kwanza ajinasue kwenye kitanzi cha icc
Pili apambane na waisrael ambao wamemchoka na amewaweka wote hatarini kwa ujinga wake
 
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.
Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.
Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao,wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.
Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake.Wamebaki wanateseka tu.
Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.
Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.
Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure.Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.
Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.
Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.
Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.
Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

Hao hamas wangevamia Urusi 7/10/ 2023 na kuchinja watu vile,maiti zaidi ya 1200 kutapakaa mtaani vile ndani ya masaa tu. LEO HII TUNGEKUWA TUNAONGEA VINGINE. Netanyahu ni mstaarabu sana
 
Mollel na Mtenga waliuliwa na Netanyau ? unafik huu mnafundishwa misikitin ?
 
Hakuna jirani mwema ambaye ni mwarabu dunia hii hakuna.
Hayo unaongea wewe kwakuwa unaongea na hisia ila duniani saudi arabia amekuwa rafiki mkubwa wa usa kuliko mataifa mengi ya ulaya ukiacha uk na germany,
Netanyahu wakati anaingia madarakani moja ya sera yake ni kuwa na normalization na saudi arabia na jirani zake middle east kitu ambacho amefeli hadi sasa pamoja na msaada mkubwa wa usa
 
Saudia anaurafiki kwasababu hana nguvu,akipata nguvu hana rafiki yule.
 
Back
Top Bottom