Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

Hamas hatari sana, Israel imefanya juhudi zote za Hollywood. Imetumia askari wa undercover huku akisaidiwa na inchi zenye intelligensia za hali ya juu, lakini wapi hakuna mateka hata mmoja waliomkomboa ndia akaamua kumalizia hasira zake apigani vita na majumba na mahosipitali.

Najiuliza hivi vita ikiendelea kwa mida mrefu na Israel amkimaliza kupiga majumba yote, atakuwa anapiga nini tena
 
So you believe kua you're the only source ya hiyo habari. I met similar information kwa Tweeter, read it, understood it, you're just parroting what other have pondered. You don't control narrative
Umesoma kwenye twitter ukaamini ndicho nilichokuwa nikiandika mimi.Hivyo hukujipa muda kuhakikisha kuwa kweli ni kitu kile kile.
Unachekesha sana wewe.
 
View attachment 3006715
Hawajifunzi hawa viumbe,,,mwenzake alioza kabla ya kufa alikua anatokwa na funza kila kona
Nakumbuka huyu ndiye aliyeamrisha kuuliwa sheikh Yassin ambaye ndiye muasisi wa Hamas.
nini kimetokea baada ya kumuua muasisi.Laana imemkuta mpaka wakaamua wamuondoe machoni na Hamas ilikuwa kama ndio wamezaliwa upya.Ndio hawa anaopambana nao Netanyahu kwa njia ya kuua wanawake,watoto na wagonjwa walio vitandani mahospitalini.
 
Mollel na Mtenga waliuliwa na Netanyau ? unafik huu mnafundishwa misikitin ?
Nani kama si yeye aliyewafanya kama chambo kwa kuwaingiza kwenye kambi za jeshi kinyemela.
 
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.
Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.
Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao,wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.
Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake.Wamebaki wanateseka tu.
Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.
Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.
Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure.Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.
Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.
Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.
Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.
Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

Kabla hujaitetea Palestine kumbuka wao ndio chanzo cha hiyo vita
 
unazungumziaje mambo ya sudani na somalia kuhusu waafrika
 
Kabla hujaitetea Palestine kumbuka wao ndio chanzo cha hiyo vita
Mbona hutaki kusoma historia ya ugomvi huu unaoendelea.Kuwa umeanza mbali sana hata kabla ya 1947.Na kote huko waliokuwa wakiumia ni wapalestina tu kabla na wao kujitetea kidogo oktoba 7.
 
Netanyahu alikua na wakati mgumu hata kabla ya hii vita. Tukio la Hsmas la Oktoba 7 lilihitaji kujibiwa kwa nguvu, limekuja na gharama kubwa ila litajenga heshma ya muda mrefu hasa Israel ikidhibi eneo la Rafa.
Na kama Netanyahu angekaa kimya hawa waarabu wangeota pembe sana! Wapigwe tu waache mazoea! Viva Israel.
 
Allah awape ushindi ndugu zetu mujaahidiin dhidi ya maadui! Allahumma aamiin
 
Mbona hutaki kusoma historia ya ugomvi huu unaoendelea.Kuwa umeanza mbali sana hata kabla ya 1947.Na kote huko waliokuwa wakiumia ni wapalestina tu kabla na wao kujitetea kidogo oktoba 7.
Waarab waliona raha sana enzi hizo around 70AD kupewa ardhi ya wayahudi na dola la rumi, huku wayahudi wakifukuzwa na nchi yao kuitwa palestine maana warumi walitaka kuwakomoa wayahudi, waarab wakaenjoy wenyewe kukalia ardhi ya wayahudi kwa mamia ya miaka wasijue kuwa Mungu wa wayahudi ana kiapo na wayahudi kuwa hata iweje, ipite muda gani ardhi ile ni ya wayahudi fullstop.
Uzuri wayahudi wana miaka mitatu na nusu ya kuitesekea ardhi hito kabla hawajarudishiwa na Mungu kila inchi inayokaliwa na migaidi ya kiarabu.
 
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun.
Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba yao,mahospitalini mpaka kwenye makambi walikokimbilia kujificha.
Wananchi wa Israel kuanzia waliotekewa ndugu zao,wakulima na wengine raia wa kawaida wamelia sana wakitaka vita visimame na hawajaweza kumshawishi Netanyahu kufanya wanachokitaka.
Baraza la vita la Israel pamoja na kila siku kutishia kujiondoa kwa baadhi yao lakini wameshindwa kumshawishi kinyume Netanyahu afanye kinyume na matakwa yake.Wamebaki wanateseka tu.
Marekani nayo kila ikijaribu kusimamia makubaliano ya kusitisha vita ili angalau kwa maslahi ya uchaguzi ujao wameshindwa kumbadilisha Netanyahu.Kila matumaini yakikaribia ya kufikiwa mwisho wa vita.Benjamini Netanyahu hua anatoa kauli ya kurudisha matumaini mpaka sifuri akisisitiza matakwa yake ambayo tayari ameambiwa hayatotimia,yaani kuifuta Hamas na kuwaokoa mateka.
Mateso ya Netanyahu kwa Marekani yamelifanya taifa hilo lizidi kupoteza heshima yake kwa ulimwengu kwani limejionesha wazi kuwa liko chini ya Israel.Kwa upande mwengine uchumi wa Marekani umeathirika sana ktuokana na kushirikiana na Israel.
Mahakama za kimataifa na wale wanaoshitaki wamekuwa wakiteseka bure.Hakuna walichoweza kupata kwani Netanyahu ameongoza kuzidharau mamlaka hizo na kulazimisha anachotaka kwa kupinga mbele ya watu wote kilichoamuliwa.
Nchi kadhaa ambazo zimeibembeleza Israel chini ya Netanyahu isitishe mauwaji na nyengine kufanya maamuzi ya kuitambua Palestina nazo zinateseka bure kwani kila kukicha Netanyahu anazitishia nchi hizo kwa maamuzi yao hayo na kuahidi kuwa atawazuia kufanya kazi kwa utulivu chini ya serikali yake.
Kwa upande wa dunia kwa ujumla maamuzi ya Netanyahu yamepelekea kupanda kwa gharama za maisha mara nyingi sana kwani bei za mafuta na chakula vimebadilika sana kutokana na kuvurugika kwa misafara ya meli za mizigo baharini.
Muhimu ni kuwa mtu huyu,Benjamin Netanyahu atakuwa amevutwa afanye kibri ambapo mwisho wake utakuwa ushahidi kwa dunia nzima kuwa hakuna kiumbe anayeweza kuitesa dunia daima bila kutiwa mkononi.
Angalia hapo chini jinsi Netanyahu alivyomdharau Joe Biden,raisi wa Marekani baada ya kupokea ratiba yake ya kumaliza vita.

Netanyahu seems to contradict Biden cease-fire offer: 'Non-starter' if all conditions not met

Top Netanyahu advisor: ‘A lot of details to be worked out’ in ceasefire deal

Watu wengine sijui huwa mnawaza nini maana sisemi pumba ila kuna ushabiki usio na maana, hivi unajua idadi ya waliopoteza maisha wakati wa hitler??? Au ndio unaandika tuili kujustify kile ambacho akili yako inakutuma

Unaweza kujenga hoja bila kubaka takwimu na utaeleweka tu
 
Umesoma kwenye twitter ukaamini ndicho nilichokuwa nikiandika mimi.Hivyo hukujipa muda kuhakikisha kuwa kweli ni kitu kile kile.
Unachekesha sana wewe.
You are too emotional kasome upya reply yangu.
 
Ushawishi wa Kimataifa saa nyingine ni kufuata mkumbo, una ups na down zake. Hivi umejiuliza ni kwa nini Urusi na mauaji yake yote hajapigiwa kelele kama za Israel hapo Gaza??
Mkuu uharibifu unaofanywa na Israel kwa kuuwa watu wasiokuwa na hatia ni mbaya na mkubwa mno.
Urusi harushii mabomu wagonjwa, wanawake na watoto.
Israel wanakamata hadi watoto wadogo wa kiume wa kipalestina.
Anabomoa makazi ya watu makusudi.
Anavamia misafara ya gari za misaada ya chakula ya UN.
Anauwa wafanyakazi wa mashirika ya misaada wakiwa kazini tena siyo raia wa Palestina.
Anauwa watu hadi kwenye foleni za kupokea chakula kwenye kambi za wakimbizi.

Mimi siyo muislam na nachukia sana kitendo cha ugaidi wa HAMAS lakini wanachofanya Israel sasa hivi ni genocide au holocust kama walichofanyiwa na Hitler na NAZI wenzie.

Urusi angefanya robo tu ya anachofanya Israel nina uhakika angevamiwa rasmi na wanachama wa NATO wote kwa silaha nzito.
Achana na propaganda za media za Magharibi.
 
Vita wala sio dhidi ya hamas wals ugaidi ni janja ya netanyahu kuendelea kubaki madarakani , hawa right wing ndio wanaomuweka matatizoni , hata yeye netanyahu anaona mwisho wa hii vita ni mbaya kwake ,sasahivi dunia nzima imeitenga israel huku icc ikimuwinda, na akisema asitishe vita serikali yake ikitolewa madarakani mahakama za israel zinamuhitaji kwa makosa ya rushwa
Netanyahu Yupo kwenye wakati mgumu kuliko unavyofikiria
Na sasa wananchi israel wanaandamana miji mbali mbali aachie madaraka ,kazi anayo
Kwa hiyo unaunga mkono Hamas walipofanya ugaidi kwa kuwaua watoto, wanawake na wazee wa Israel pamoja na kuwateka mamia ya wananchi wa Israel?
 
Kilichofanyika oktoba 7 kuna upotoshaji na utiaji chumvi mwing.Matukio mengi ya siku hiyo hayakurekodiwa na kwa vile msemaji ni Israel peke yake ni vigumu kupata uthibitisho.Kuna mengine yamekanushwa na vyombo vya habari vya huko huko Israel
Ukija kwa Gaza matukio hayo mengi yamekuwa yakirushwa moja kwa moja.Tumekuwa tukiwaona watoto wakifa na ndugu zao wakipiga mayowe kwa huzuni karibu kila siku kwa mwezi unaoingia wa 8 sasa.
 
Sitazungumzia sehemu inayoihusu US, ila Netanyahu ni kiongozi shupavu kabisa. Njia yake ya uongozi ndio inapaswa kufuatwa ikiwa umepakana na Waarabu, kanuni ni moja "show them no mercy". Hakuna kiongozi ambae angefumbia macho uhalifu wa Hamas walioufanya siku ile. Tena Israel anapigana vita ya kiungwana sana kwa kutoa misaada kwa Wapalestina, kuwapata maelekezo ya njia za kupita ila
".... ikiwa umepakana na Waarabu, kanuni ni moja "show them no mercy"
Hii ndio kauli thabiti ya kuzingatia unapokuwa unafanya mazungumzo na Waarabu.
Usicheke na nyani - utavuna mabua mjomba.
 
Back
Top Bottom