Netanyahu azungumza na Putin kwa dakika 50, amkaripia kuhusu Putin kuonekana kama ambaye haeleweki kwenye huu ugomvi

huyu mkenya bhana......amehama mazima kule russo-ukrain war
sasa yupo huku kwa netanyahu na wavaa kobazi
 
Speach ya Nyetanau ipo ALJAZEELA mpaka muda huu. Amemwekeza kuhusu msimamo wake juu ya Taifa la Iran na Israel pia.
 
"Kakaripiwa*
 
"Kakaripiwa*

Msichokijua, Wayahudi wapo kote ikiwemo hata kwenye uongozi huko Urusi, maotegemea kuja kuwafuta kwenye uso wa dunia mtahangaika sana.
 
Msichokijua, Wayahudi wapo kote ikiwemo hata kwenye uongozi huko Urusi, maotegemea kuja kuwafuta kwenye uso wa dunia mtahangaika sana.
Idf wameokoa magaidi wao wangapi mpaka muda huu [emoji3]
 
putin katuliaaa kupokea lecture mazee dah...myahudi nomaa
 
Acha mambo yako, Ukraine tumechanganyikiwa wafadhili wa vita wameona hakuna dalili ya ushindi wamesitisha pesa, wamefilisika, Putin si wa mchezo mchezo yule mwamba
 
Acha mambo yako, Ukraine tumechanganyikiwa wafadhili wa vita wameona hakuna dalili ya ushindi wamesitisha pesa, wamefilisika, Putin si wa mchezo mchezo yule mwamba
PUT IN the greatest [emoji3]
 
Idf wameokoa magaidi wao wangapi mpaka muda huu [emoji3]

IDF wako pale kuhakikisha ule uchafu wa dini yenu unasafishwa, mpaka sasa wameua mazombi yenu kari 20,000
 
Acha mambo yako, Ukraine tumechanganyikiwa wafadhili wa vita wameona hakuna dalili ya ushindi wamesitisha pesa, wamefilisika, Putin si wa mchezo mchezo yule mwamba

Ukraine pale patamu sana, utin alimpa Zelensky masaa 24 aihame nchi, mpaka leo pameshindikana, tena kataifa kadogo ukilinganisha na Urusi, yaani Putin ameaibishwa na hako kainchi, katumia kila aina ya silaha ila wapi.
 
Ukraine ni sehemu ya urusi wewe soma history maana ya USSR utaujua ukweli tena warusi wapole sana ilitakiwa warudishe maeneo yote.

Hata Gaza ni sehemu ya Israeli. Soma history.
Wapalestina ni wapangaji tu sasa baba mwenye nyumba karudi kufanya yake
 
Huyo kichwa mbovu wako asipoyatafakari kwa kina nakuyaelewa waliyoongea na huyo mwamba,utarudi hapa siku ukilia lia🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…