Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.

"FANYA MAKUBALIANO NA GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.

Malengo ya vita vya Gaza ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuwakomboa Mateka wote kuwarudisha nyumbani. Netanyahu kashindwa kuwamaliza Hamas wala kuwapata Mateka wa Israel.

Baada ya kushindwa vita akabakia kuuwa watoto na wanawake na kuwapiga risasi raia ambao wanasubiri misaada ya vyakula.

Marekani kachoka kutoa silaha hajui vita vina malengo gani, Trump kaingilia kati tena na kumwambia Nentanyahu, huwezi kuwamaliza Hamas wala kuwaokoa Mateka, lazima tukae na Hamas tumalize vita Mataka warudi nyumbani.

Malengo yao vita vya Irana yalikuwa ni kwenda kuharibu vinu vya nukilia, kuangusha utawala wa Ayatollah na kuilazimisha Iran kusaini makubaliano ya amani na Israel kama walivyo fanya Misri na Jordan lakini yote yamegonga ukuta wamejikutana wanazoa kifusi Tell Aviv, Haifa na miji migine.

Marekani isingeingilia hii vita. ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wote wangeikimbia nchi yao.

President Trump on Sunday called for a deal on Israel’s war in Gaza and the hostages held in the territory to be released. “MAKE THE DEAL IN GAZA. GET THE HOSTA… Source: The Hill Trump calls for deal on war in Gaza, hostages’ return

UP DATE…….

View: https://x.com/suppressednws/status/1941442907489305052?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.

"FANYA MAPENZI GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.

Malengo ya Israel kuishambulia Iran hayakuwa kuua raia wa Iran. Ilikuwa ni kui disable Irani Kinyuklia. Na ndo maana alikuwa anapiga maeneo muhimu.
1. Amepiga vinu vya kinyuklia na miundo mbinu yake
2. Ameua makamanda na wanasayansi.

Amemaliza kazi ambayo aliitaka. Hayo mengine SISI TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUJIBEMBELEZA. TISHIO LA ISRAEL NA NEYANYAU ILIKUWA NI SILAHA ZA NYUKLIA. KAMA IRAN HANA HIZO WALA. ISRAEL HANA TATIZO NAYE. LAKINI PIA AMETUONESHA KUWA IRAN SI KAMA AMBAVYO TULIDHANIA. IRAN HAWAPO VIZURI. WAMEUAWA WATU WAKUBWA SANA NDANI YA NCHI YAO. NI AIBU.

MENGINE TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUMSIKILIZA SHEIKH KITINKU ANAPOTUPANGA. HAYATOLLAH KHAMEIN ALISHASEMA HATAKI TENA ISHI MAISHA YA KUHAMA HAMA MASHIMO.
 
Wakanisa watabisha hawa watu ni waajabu sana, Netanyahu akipiga majumba ya raia wanasema askari walikuwepo mle, haya tuonyesheni hamna hata silaha wamekuta kwenye hayo majumba. Iran alivyo piga ile base ipo karibu na hospital wakasema Iran kapiga hospital, wakati Iran katoa na dalili kabisa mpaa alivyo piga base vile vipande vya Missiles ndio vikapiga hospital ikawa kelele. Wao walipiga hospital Iran tena kwa maksudi kabisa kama walivyo zowea kupiga Gaza hakuna hospital Gaza wameiwacha hawakushambulia.
 
Malengo ya Israel kuishambulia Iran hayakuwa kuua raia wa Iran. Ilikuwa ni kui disable Irani Kinyuklia. Na ndo maana alikuwa anapiga maeneo muhimu.
1. Amepiga vinu vya kinyuklia na miundo mbinu yake
2. Ameua makamanda na wanasayansi.

Amemaliza kazi ambayo aliitaka. Hayo mengine SISI TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUJIBEMBELEZA. TISHIO LA ISRAEL NA NEYANYAU ILIKUWA NI SILAHA ZA NYUKLIA. KAMA IRAN HANA HIZO WALA. ISRAEL HANA TATIZO NAYE. LAKINI PIA AMETUONESHA KUWA IRAN SI KAMA AMBAVYO TULIDHANIA. IRAN HAWAPO VIZURI. WAMEUAWA WATU WAKUBWA SANA NDANI YA NCHI YAO. NI AIBU.

MENGINE TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUMSIKILIZA SHEIKH KITINKU ANAPOTUPANGA. HAYATOLLAH KHAMEIN ALISHASEMA HATAKI TENA ISHI MAISHA YA KUHAMA HAMA MASHIMO.
Hakuna Israel alicho fanikiwa mpaa nchi zote sa wameisha muona ni media tu zilimkuza na propoganda za West. Target gani alio fanikiwa hakuna zaidi ya kuwavizia watu walikuwa hawajui kama kuna vita mfano wale macommader walio uliwa siku ya kwanza ya vita, tena kwa kutumia watu waliokuwa recruited na Mossad. Miaka 20 wamejiandaa kumpiga Iran nawamefailed vibaya sana. Ndege zao zilikuwa zinatokea Azerbaijan wanajidai zilikuwa zikitokea Israel karibu 75% zilitokea Azerbaijan na 15% kwenye nchi za Gulf states ni 10% zilitokea Israel tena zilipitia Jordan, Iraq na Syria. Israel hana lolote mbele ya Iran.
 
Shetaninyau kapigika sana mwaka huu. Huyu hatokuja kuisahau Iran katika maisha yake yote aisee.

Na amshukuru swaiba wake Trump kaingilia kati kuomba vita isimame ili kumuokoa na kifo kilichokuwa kinamnyemelea mbeleni. Kama kingekuwa kile kizee Biden kingejisahau na kuja kushtuka Shetaninyau kajifia huko shimoni alipokuwa amejificha kukwepa makombora ya Iran.

Vita ya week 1 mifupa yote ipo nje na ukiangalia meno hata mswaki alikuwa hapigi, je ingefika mwezi 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • 20250620_225357.jpeg
    20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 44
Malengo ya Israel kuishambulia Iran hayakuwa kuua raia wa Iran. Ilikuwa ni kui disable Irani Kinyuklia. Na ndo maana alikuwa anapiga maeneo muhimu.
1. Amepiga vinu vya kinyuklia na miundo mbinu yake
2. Ameua makamanda na wanasayansi.

Amemaliza kazi ambayo aliitaka. Hayo mengine SISI TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUJIBEMBELEZA. TISHIO LA ISRAEL NA NEYANYAU ILIKUWA NI SILAHA ZA NYUKLIA. KAMA IRAN HANA HIZO WALA. ISRAEL HANA TATIZO NAYE. LAKINI PIA AMETUONESHA KUWA IRAN SI KAMA AMBAVYO TULIDHANIA. IRAN HAWAPO VIZURI. WAMEUAWA WATU WAKUBWA SANA NDANI YA NCHI YAO. NI AIBU.

MENGINE TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUMSIKILIZA SHEIKH KITINKU ANAPOTUPANGA. HAYATOLLAH KHAMEIN ALISHASEMA HATAKI TENA ISHI MAISHA YA KUHAMA HAMA MASHIMO.
Regime change imefanyika ?😂

View: https://x.com/iriran_military/status/1939030684439585157?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.

"FANYA MAPENZI GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.

Malengo ya vita vya Gaza ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuwakomboa Mateka wote kuwarudisha nyumbani. Netanyahu kashindwa kuwamaliza Hamas wala kuwapata Mateka wa Israel.

Baada ya kushindwa vita akabakia kuuwa watoto na wanawake na kuwapiga risasi raia ambao wanasubiri misaada ya vyakula.

Marekani kachoka kutoa silaha hajui vita vina malengo gani, Trump kaingilia kati tena na kumwambia Nentanyahu, huwezi kuwamaliza Hamas wala kuwaokoa Mateka, lazima tukae na Hamas tumalize vita Mataka warudi nyumbani.

Malengo yao vita vya Irana yalikuwa ni kwenda kuharibu vinu vya nukilia, kuangusha utawala wa Ayatollah na kuilazimisha Iran kusaini makubaliano ya amani na Israel kama walivyo fanya Misri na Jordan lakini yote yamegonga ukuta wamejikutana wanazoa kifusi Tell Aviv, Haifa na miji migine.

Marekani isingeingilia hii vita. ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wote wangeikimbia nchi yao.

President Trump on Sunday called for a deal on Israel’s war in Gaza and the hostages held in the territory to be released. “MAKE THE DEAL IN GAZA. GET THE HOSTA… Source: The Hill Trump calls for deal on war in Gaza, hostages’ return
Hivi bado tu hujamwelewa Trump na Netanyahu?
 
Malengo ya Israel kuishambulia Iran hayakuwa kuua raia wa Iran. Ilikuwa ni kui disable Irani Kinyuklia. Na ndo maana alikuwa anapiga maeneo muhimu.
1. Amepiga vinu vya kinyuklia na miundo mbinu yake
2. Ameua makamanda na wanasayansi.

Amemaliza kazi ambayo aliitaka. Hayo mengine SISI TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUJIBEMBELEZA. TISHIO LA ISRAEL NA NEYANYAU ILIKUWA NI SILAHA ZA NYUKLIA. KAMA IRAN HANA HIZO WALA. ISRAEL HANA TATIZO NAYE. LAKINI PIA AMETUONESHA KUWA IRAN SI KAMA AMBAVYO TULIDHANIA. IRAN HAWAPO VIZURI. WAMEUAWA WATU WAKUBWA SANA NDANI YA NCHI YAO. NI AIBU.

MENGINE TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUMSIKILIZA SHEIKH KITINKU ANAPOTUPANGA. HAYATOLLAH KHAMEIN ALISHASEMA HATAKI TENA ISHI MAISHA YA KUHAMA HAMA MASHIMO.
Unabishana na Netanyahu aliyesema lengo ni regime change na kuharibu facilities za kurutubisha uranium kitu ambacho hakijafanikiwa hata kwa 30%?
 
Hakuna Israel alicho fanikiwa mpaa nchi zote sa wameisha muona ni media tu zilimkuza na propoganda za West. Target gani alio fanikiwa hakuna zaidi ya kuwavizia watu walikuwa hawajui kama kuna vita mfano wale macommader walio uliwa siku ya kwanza ya vita, tena kwa kutumia watu waliokuwa recruited na Mossad. Miaka 20 wamejiandaa kumpiga Iran nawamefailed vibaya sana. Ndege zao zilikuwa zinatokea Azerbaijan wanajidai zilikuwa zikitokea Israel karibu 75% zilitokea Azerbaijan na 15% kwenye nchi za Gulf states ni 10% zilitokea Israel tena zilipitia Jordan, Iraq na Syria. Israel hana lolote mbele ya Iran.
Azerbaijan anakuaje anamsapoti Israel aisee!?
Bora hata Armenia wangewapiga na kubaki na Nagorno-Karabakh.
 
level za Israel ni haya makundivHezbollah, Houthis, Hamas ndiyo uwa anajitapa kuwa anawapiga kumbuka hawa ni wanamgambo lakini wanamsumbua.

Wao ndiyo wamemuelewa Iran baada ya kuwapa kichapo baba na mtoto.
Samahani kidogo sheikh hivi Marekani na Iran wakiingia vitani(full scale war) nani atachakaa?
 
Back
Top Bottom