Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

Shetaninyau kapigika sana mwaka huu. Huyu hatokuja kuisahau Iran katika maisha yake yote aisee.

Na amshukuru swaiba wake Trump kaingilia kati kuomba vita isimame ili kumuokoa na kifo kilichokuwa kinamnyemelea mbeleni. Kama kingekuwa kile kizee Biden kingejisahau na kuja kushtuka Shetaninyau kajifia huko shimoni alipokuwa amejificha kukwepa makombora ya Iran.

Vita ya week 1 mifupa yote ipo nje na ukiangalia meno hata mswaki alikuwa hapigi, je ingefika mwezi 🤣🤣🤣
Rising Lion alikaa siku kumi anakunya kwenye Pampers sidhani kama ataisogelea Iran tena.
 
Malengo ya Israel kuishambulia Iran hayakuwa kuua raia wa Iran. Ilikuwa ni kui disable Irani Kinyuklia. Na ndo maana alikuwa anapiga maeneo muhimu.
1. Amepiga vinu vya kinyuklia na miundo mbinu yake
2. Ameua makamanda na wanasayansi.

Amemaliza kazi ambayo aliitaka. Hayo mengine SISI TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUJIBEMBELEZA. TISHIO LA ISRAEL NA NEYANYAU ILIKUWA NI SILAHA ZA NYUKLIA. KAMA IRAN HANA HIZO WALA. ISRAEL HANA TATIZO NAYE. LAKINI PIA AMETUONESHA KUWA IRAN SI KAMA AMBAVYO TULIDHANIA. IRAN HAWAPO VIZURI. WAMEUAWA WATU WAKUBWA SANA NDANI YA NCHI YAO. NI AIBU.

MENGINE TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUMSIKILIZA SHEIKH KITINKU ANAPOTUPANGA. HAYATOLLAH KHAMEIN ALISHASEMA HATAKI TENA ISHI MAISHA YA KUHAMA HAMA MASHIMO.
Kwahiyo wametimiza malengo na Vita vimeisha au kuna walichobakisha watarudi kukamilisha!?
 
Unabishana na Netanyahu aliyesema lengo ni regime change na kuharibu facilities za kurutubisha uranium kitu ambacho hakijafanikiwa hata kwa 30%?
Regime change alishakataliwa na Trump wasimuue Khamein. Mbona miaka na miaka wanasema WAO HAWATAKI IRANI IWE NA NYUKLIA NA NDO WALICHOFANYA KWENDA NDANI IRAN KUUA MAJINA YA WALIO KWENYE LIST WALIYOPEWA. NA KULIPUA MITAMBO YA NYUKLIA. SASA WANAWEZA WAKAA NA KUNYWA MAZIWA NA ASALI. 😁
 
Hakuna Israel alicho fanikiwa mpaa nchi zote sa wameisha muona ni media tu zilimkuza na propoganda za West. Target gani alio fanikiwa hakuna zaidi ya kuwavizia watu walikuwa hawajui kama kuna vita mfano wale macommader walio uliwa siku ya kwanza ya vita, tena kwa kutumia watu waliokuwa recruited na Mossad. Miaka 20 wamejiandaa kumpiga Iran nawamefailed vibaya sana. Ndege zao zilikuwa zinatokea Azerbaijan wanajidai zilikuwa zikitokea Israel karibu 75% zilitokea Azerbaijan na 15% kwenye nchi za Gulf states ni 10% zilitokea Israel tena zilipitia Jordan, Iraq na Syria. Israel hana lolote mbele ya Iran.

Mambo Ambayo Israel Imefanikiwa

1. Kuchelewesha Mpango wa Nyuklia wa Iran

Israel (kwa kushirikiana na Marekani) imeharibu mitambo muhimu ya nyuklia ya Iran kama Natanz, Fordow na Isfahan.

Wachambuzi wanasema hatua hiyo imechelewesha uwezo wa Iran kutengeneza silaha za nyuklia kwa miezi kadhaa hadi miaka.

2. Kuua Viongozi Muhimu wa Iran

Majasusi wa Israel (Mossad) waliwaua wanasayansi wa nyuklia wa juu wa Iran na makamanda kadhaa wa Kikosi cha IRGC.

Miongoni mwa waliolengwa walikuwa wale waliohusika moja kwa moja na mradi wa kutengeneza bomu la nyuklia.

3. Kutawala Angani na Kushangaza Iran

Ndege za kivita za Israel zilifanikiwa kuharibu ulinzi wa anga wa Iran, na hazikupata hasara kubwa.

Operesheni za siri za ndani ya Iran zilisaidia kuzima baadhi ya makombora ya kujihami kabla ya mashambulizi kuanza.
 
Mambo Ambayo Israel Imefanikiwa

1. Kuchelewesha Mpango wa Nyuklia wa Iran

Israel (kwa kushirikiana na Marekani) imeharibu mitambo muhimu ya nyuklia ya Iran kama Natanz, Fordow na Isfahan.

Wachambuzi wanasema hatua hiyo imechelewesha uwezo wa Iran kutengeneza silaha za nyuklia kwa miezi kadhaa hadi miaka.

2. Kuua Viongozi Muhimu wa Iran

Majasusi wa Israel (Mossad) waliwaua wanasayansi wa nyuklia wa juu wa Iran na makamanda kadhaa wa Kikosi cha IRGC.

Miongoni mwa waliolengwa walikuwa wale waliohusika moja kwa moja na mradi wa kutengeneza bomu la nyuklia.

3. Kutawala Angani na Kushangaza Iran

Ndege za kivita za Israel zilifanikiwa kuharibu ulinzi wa anga wa Iran, na hazikupata hasara kubwa.

Operesheni za siri za ndani ya Iran zilisaidia kuzima baadhi ya makombora ya kujihami kabla ya mashambulizi kuanza.
 
Unabishana na Netanyahu aliyesema lengo ni regime change na kuharibu facilities za kurutubisha uranium kitu ambacho hakijafanikiwa hata kwa 30%?
Mambo Ambayo Israel Imefanikiwa

1. Kuchelewesha Mpango wa Nyuklia wa Iran

Israel (kwa kushirikiana na Marekani) imeharibu mitambo muhimu ya nyuklia ya Iran kama Natanz, Fordow na Isfahan.

Wachambuzi wanasema hatua hiyo imechelewesha uwezo wa Iran kutengeneza silaha za nyuklia kwa miezi kadhaa hadi miaka.

2. Kuua Viongozi Muhimu wa Iran

Majasusi wa Israel (Mossad) waliwaua wanasayansi wa nyuklia wa juu wa Iran na makamanda kadhaa wa Kikosi cha IRGC.

Miongoni mwa waliolengwa walikuwa wale waliohusika moja kwa moja na mradi wa kutengeneza bomu la nyuklia.

3. Kutawala Angani na Kushangaza Iran

Ndege za kivita za Israel zilifanikiwa kuharibu ulinzi wa anga wa Iran, na hazikupata hasara kubwa.

Operesheni za siri za ndani ya Iran zilisaidia kuzima baadhi ya makombora ya kujihami kabla ya mashambulizi kuanza.
 
Regime change alishakataliwa na Trump wasimuue Khamein. Mbona miaka na miaka wanasema WAO HAWATAKI IRANI IWE NA NYUKLIA NA NDO WALICHOFANYA KWENDA NDANI IRAN KUUA MAJINA YA WALIO KWENYE LIST WALIYOPEWA. NA KULIPUA MITAMBO YA NYUKLIA. SASA WANAWEZA WAKAA NA KUNYWA MAZIWA NA ASALI. 😁
CIA wamesema hawajafanikiwa kuharibu mitambo ya urutubishaji tuwe waelewa ndugu,kama wamearibu ni centrifuges za zamani sana kama Ir-1 na Ir-2 ambazo ziliwekwa huku juu kama gheresha, Iran ina centifuges za kisasa kama Ir-6, ir-7, ir-8 na ir-9 ambazo hata israel na US wanashangaa wameweza vipi kuzitengeneza, hizi za kisasa zina kasi sana kurutubisha uranium ndani ya muda mfupi kitu ambacho kinaogopeka...

Kumbuka pia wangeharibu centrifuges au kulipua hiyo inu ikiwa na uranium lazima wakazi wa karibu wangehamishwa kwa sababu uranium ni hatari sana ikivuja... hakuna detectors ime detect uranium yeyote iliyovuja na serikali imewaambia wakazi wa maeneo hayo waendelee kukaa...

Uranium ikivuja Posta, gongo la mboto wanaambiwa wahame, hadi Mlandizi mtaambiwa hameni mziki wa uranium ni kitu kingine...
 
Mambo Ambayo Israel Imefanikiwa

1. Kuchelewesha Mpango wa Nyuklia wa Iran

Israel (kwa kushirikiana na Marekani) imeharibu mitambo muhimu ya nyuklia ya Iran kama Natanz, Fordow na Isfahan.

Wachambuzi wanasema hatua hiyo imechelewesha uwezo wa Iran kutengeneza silaha za nyuklia kwa miezi kadhaa hadi miaka.

2. Kuua Viongozi Muhimu wa Iran

Majasusi wa Israel (Mossad) waliwaua wanasayansi wa nyuklia wa juu wa Iran na makamanda kadhaa wa Kikosi cha IRGC.

Miongoni mwa waliolengwa walikuwa wale waliohusika moja kwa moja na mradi wa kutengeneza bomu la nyuklia.

3. Kutawala Angani na Kushangaza Iran

Ndege za kivita za Israel zilifanikiwa kuharibu ulinzi wa anga wa Iran, na hazikupata hasara kubwa.

Operesheni za siri za ndani ya Iran zilisaidia kuzima baadhi ya makombora ya kujihami kabla ya mashambulizi kuanza.
Propaganda tu...
Cha kushangaza dunia ni ulinzi wa anga a Israel plus US kushindwa kuzuia kipigo cha Iran, hio maana yake hata US haipo salama... EU yote haipo salama, ndio maana US kakimbiza ndege zake zote kutoka kwenye bases ME na kuomba mazungumzo..
 
CIA WA BUZA AU TANDALE KWA TUMBO?

Mambo Ambayo Israel Imefanikiwa

1. Kuchelewesha Mpango wa Nyuklia wa Iran

Israel (kwa kushirikiana na Marekani) imeharibu mitambo muhimu ya nyuklia ya Iran kama Natanz, Fordow na Isfahan.

Wachambuzi wanasema hatua hiyo imechelewesha uwezo wa Iran kutengeneza silaha za nyuklia kwa miezi kadhaa hadi miaka.

2. Kuua Viongozi Muhimu wa Iran

Majasusi wa Israel (Mossad) waliwaua wanasayansi wa nyuklia wa juu wa Iran na makamanda kadhaa wa Kikosi cha IRGC.

Miongoni mwa waliolengwa walikuwa wale waliohusika moja kwa moja na mradi wa kutengeneza bomu la nyuklia.

3. Kutawala Angani na Kushangaza Iran

Ndege za kivita za Israel zilifanikiwa kuharibu ulinzi wa anga wa Iran, na hazikupata hasara kubwa.

Operesheni za siri za ndani ya Iran zilisaidia kuzima baadhi ya makombora ya kujihami kabla ya mashambulizi kuanza.
 
ISRAEL kachapwa picha tu ya Netanyahu inaonesha kipigo alichopewa sio cha kitoto kuijenga upya Telaviv Haifa na kwengine !!

upande mwengine wananchi wamepoteza iman na ulinzi wao wa Anga ivyo awataki tena kubakia Seem sio Salama !!!

hiii ndio pigo kubwa Israel itapata Sababu wananchi waliaminishwa wapo Salama ndani ya Israel sasa utawaambia nini tena !!!

zaid ya kusepa kwengine,,,,

Netanyahu kayakanyaga Vibaya..
 
Wanaukumbi.

Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.

"FANYA MAPENZI GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.

Malengo ya vita vya Gaza ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuwakomboa Mateka wote kuwarudisha nyumbani. Netanyahu kashindwa kuwamaliza Hamas wala kuwapata Mateka wa Israel.

Baada ya kushindwa vita akabakia kuuwa watoto na wanawake na kuwapiga risasi raia ambao wanasubiri misaada ya vyakula.

Marekani kachoka kutoa silaha hajui vita vina malengo gani, Trump kaingilia kati tena na kumwambia Nentanyahu, huwezi kuwamaliza Hamas wala kuwaokoa Mateka, lazima tukae na Hamas tumalize vita Mataka warudi nyumbani.

Malengo yao vita vya Irana yalikuwa ni kwenda kuharibu vinu vya nukilia, kuangusha utawala wa Ayatollah na kuilazimisha Iran kusaini makubaliano ya amani na Israel kama walivyo fanya Misri na Jordan lakini yote yamegonga ukuta wamejikutana wanazoa kifusi Tell Aviv, Haifa na miji migine.

Marekani isingeingilia hii vita. ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wote wangeikimbia nchi yao.

President Trump on Sunday called for a deal on Israel’s war in Gaza and the hostages held in the territory to be released. “MAKE THE DEAL IN GAZA. GET THE HOSTA… Source: The Hill Trump calls for deal on war in Gaza, hostages’ return
Huwezi jua labda malengo yake kuua wanawake na watoto.
HAMAS wao kuwashikilia mateka lengo lao ni nini?
 
Back
Top Bottom