The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani.
Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha.
Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia gerezani.
Ni ajabu. Amekosekana mtu mwenye akli na ujasiri wa kuwatokomeza?
Najiwazia kimya kimya.
Inasikitisha.