The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Yeremia 49.View attachment 3568165
Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani. Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha. Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia gerezani.
Ni ajabu. Amekosekana mtu mwenye akli na ujasiri wa kuwatokomeza?
Najiwazia kimya kimya.
Inasikitisha.
Watanzania wengi ni vibogoyo wa akili. Yupo tayari kuandika pray for Israel/Iran ila sio pray for the families walio poteza watoto wao ndugu jamaa October 29VP ANAYEUA WATU WAKE KWA UROHO WA MADARAKA
Fala kweli malizana kwanza nashida zako zanyumban usipangie watu matumiz yasiraha zaoView attachment 3568165
Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani. Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha. Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia gerezani.
Ni ajabu. Amekosekana mtu mwenye akli na ujasiri wa kuwatokomeza?
Najiwazia kimya kimya.
Inasikitisha.
Hizo ni propoganda dalili wananchi wa Iran wamewajibu kwenye hi vita ISA na Israel walidhani kuanzisha vita watasaidiwa na wa Iran kutokana na propoganda zao kama ile propoganda ya kudai wamemuokoa pilot 😄VP ANAYEUA WATU WAKE KWA UROHO WA MADARAKA
Siasa za Marekani zimeharibiwa na Israel lobbies na military industrial complex ndio maana wanapata viongozi vichaa kama TrumpView attachment 3568165
Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani.
Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha.
Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia gerezani.
Ni ajabu. Amekosekana mtu mwenye akli na ujasiri wa kuwatokomeza?
Najiwazia kimya kimya.
Inasikitisha.
That is a very simplistic and one story narrative of a very complex and protracted political landscape.
Kweli farasiFala kweli malizana kwanza nashida zako zanyumban usipangie watu matumiz yasiraha zao