Netanyahu sasa imetosha, uwafanyie wepesi ndugu zetu wa Palestina, naamini wameshajifunza na hivyo hawatorudia tena kufanya makosa

wewe ungekubali kufa?
 
Atakufa na ataicha Palestinian kama alivyoikuta.
 
Acha akina Sinwar wafaidi mabikra huko. Unawaonea wivu?
 
Kwani wapalestina walishawahi kuwa na taifa lao
 
Braza unawaponza wenzako akati ww Upo apo Unakula Ugali choma kwa Amani.
 
Hawataki 2 state solution, wanataka Palestine isiyo na taifa la Israel

Sasa hiyo ni ngumu
 
Mtoto akiunyea mkono unatakiwa kuufuta mkono na sio kuukata. Kipigo unacho wapiga utazani sio ndugu zako wa damu!! Naunga mkono Nyau stop this war.
 
Hawataki 2 state solution, wanataka Palestine isiyo na taifa la Israel

Sasa hiyo ni ngumu
Israel ndio anataka taifa Moja, Tangu kipindi Cha Arafat Israel ashakata kuundwa kwa taifa huru la Palestine. Na ndio vita yao, maana Israel anavamia maeneo ya Palestine nakusema niyake wakibisha anawatembezea kichapo. Angalia eneo alilokabidhiwa Israel na UN 1948 na hili alilonalo Leo.

Pia alichukua maeneo kibao, na mwaka 1967 UN wakaweka mipaka upya, na Palestine anahitaji taifa huru kwa kufata mipaka ya 1967 . Sasa Israel Hilo hataki, anafanya Genocide. Na Israel alifikir watakimbilia Jangwa la Sinai huko Misri lakini wamemshutukia wanegoma kupokea wakimbizi.

Anahitaji wakimbie Ili aendeleaj kuchukua maeneo ndio maana waarabu wote wamegoma kuwapokea wapalestine, kama ataweza awaue wote wapalestine mil 2 jambo ambalo hawezi.
 
Kawasaidie mbele kabisa
 
Wayahudi zaidi ya mia moja bado wako mikononi mwao, wataendelea kupata mkong'oto mpaka wayahudi waliotekwa waachiliwe wote,wakiwa hai ama wakiwa maiti.waliyataka wenyewe.
Walishaambiwa ukiua 1 wetu tunaua 100 kwenu.
Tkiingia kwenye hesabu na arithmetic 250×100=25000 hiyo hesabu ishafika na nyongeza tatizo ni hao kukaza shingo ndl wanapigwa na kupigwa mpk baba zao Iran,Lebanon ,Syria yaani ni kipigo tu na hao sijui Yemen vinzi vinavyoshangilia mzoga wanapigwa wote kwa jumla.
 
Tatizo alitoa ahadi kulimaliza kundi la hamas lakini ngoma bado ngumu

Anatamani kutoa jeshi ghaza ila anaona aibu kwa hata mateka hawaja kombolewa
Watu kama nyie ndio mnasababisha huu mgogoro usiishe. Sasa wapalestina wanapata faida gani kwa mazingira hayo ambapo wanakufa kwa maelfu.

Kama ndio imani inawatuma hivyo kwamba wakifa wakipigana na wasio wa imani yao eti wataenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai basi hiyo itakuwa sio dini ya mwenyezi Mungu bali ya ibilisi.
 
umeongeankwahisia nanubinaadamu lakini usichokijua Mungubanampa kiburi ili amkamate vizuri chuku historia ya mussa na firauni lak hali ya ubinaadam this is enougj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…