Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel.

Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu wa Beirut.

Anaongeza kuwa Israel inapambana na Iran ambayo ni muhimili wa ugaidi duniani ambayo imekusudia kulifuta taifa la kiyahudi

Amedai kuwa anajua kuwa nchi yake inalipa gharama kubwa kwenye vita hii lakini mafanikio ni makubwa.

Soma Pia: Jeshi la Israel laazimia kusambaratisha kitengo 127 cha uzalishaji na uendeshaji wa drone cha Hezbollah pamoja na kuua makamanda wote

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu bin isihaka bin Ibrahimu

October 14, 2024

Netanyahu visits base hit by Hezbollah drone, says IDF will continue to strike in Beirut

Prime Minister Benjamin Netanyahu, center, visits a Golani training base targeted by a deadly Hezbollah drone strike a day earlier, October 14, 2024. (Kobi Gideon/GPO)

Visiting the Golani training base at which a Hezbollah drone killed four soldiers last night, Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to continue striking the Iran-backed Lebanese terror group, including in Beirut.

“We are fighting a tough campaign against Iran’s axis of evil that wants to totally destroy us,” says Netanyahu. “They won’t make it. We keep fighting. We pay painful prices, but we have tremendous achievements — and we will continue to achieve them.”

“I want to make it clear: we will continue to hit Hezbollah mercilessly in all parts of Lebanon — also in Beirut,” he says, after Hebrew media reports indicated that he had instructed the IDF to refrain from hitting the Lebanese capital at Washington’s behest.

Netanyahu visits the dining hall that was hit by the UAV, and talks about the incident with survivors.

He also visits soldiers injured in the attack at Hillel Yaffe Medical Center in Hadera.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan

Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel

Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu wa Beirut

Anaongeza kuwa Israel inapambana na Iran ambayo ni muhimili wa ugaidi duniani ambayo imekusudia kulifuta taifa la kiyahudi

Amedai kuwa anajua kuwa nchi yake inalipa gharama kubwa kwenye vita hii lakini mafanikio ni makubwa

By Lazar Berman Follow
Today, 7:19 pm
6

Wakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa
 
Nowadays umeacha ku-quote vile vimistari vyako? Umeona havina impact yoyote and nobody gives attention to them!
 
Hezbollaa wameyatimba..
 
Netanyahu ajiuzulu tu, maana kiukweli nchi imemshinda vibaya. Kila siku anapigwa, mara houth, mara hezbulah, mara Hamas. Alidai wana mfumo bora kabisa wa ulinzi wa kuzuia makombora yoyote yanayotokea nje, lakini ni kama vile wameweka wavu juu ya ndoo ili kuzuia maji ya bomba yasijaze ndoo.

Jana Marekani alitangaza kuwa anafunga mfumo bora kabisa kuwahi kutokea (Thaad) ambao haitoruhusu hata nzi kutoka nje ya Israel kuingia nchini humo. Lakini kinachoshangaza mfumo huo uliotangazwa kufungwa jana jumlisha na mifumo mingine ya Iron Dome nk imeshindwa kuzuia drone 1 tu leo asubuhi kutoka Lebanon, ambayo imeingia mchana humo na kuuwa wanajeshi wa Israel na wengine kujeruhiwa. Je zingetumwa Hypersonic 5 mfululizo kutoka Iran ni nini kingetokea!!

Akae chini kuomba suluhu ili kuzuia maafa zaidi katika nchi yake, maana Ayatollah hana cha kupoteza. Nchi yake watu wanalala usingizi mzuri na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Hakuna nzi wala mende anaekatiza katika anga lake. Huku Israel wakiwa na kazi ya kukimbilia mashimoni (handakini) kila siku wanaposikia ving'ora.
 
Wakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa
Watu wanagombania maeneo halafu kuna wale wajinga wa dini za mzungu na mwarabu wanaingiza udini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Netanyahu ajiuzulu tu, maana kiukweli nchi imemshinda vibaya. Kila siku anapigwa, mara houth, mara hezbulah, mara Hamas. Alidai wana mfumo bora kabisa wa ulinzi wa kuzuia makombora yoyote yanayotokea nje, lakini ni kama vile wameweka wavu juu ya ndoo ili kuzuia maji ya bomba yasijaze ndoo.

Jana Marekani alitangaza kuwa anafunga mfumo bora kabisa kuwahi kutokea (Thaad) ambao haitoruhusu hata nzi kutoka nje ya Israel kuingia nchini humo. Lakini kinachoshangaza mfumo huo uliotangazwa kufungwa jana jumlisha na mifumo mingine ya Iron Dome nk imeshindwa kuzuia drone 1 tu leo asubuhi kutoka Lebanon, ambayo imeingia mchana humo na kuuwa wanajeshi wa Israel na wengine kujeruhiwa. Je zingetumwa Hypersonic 5 mfululizo kutoka Iran ni nini kingetokea!!

Akae chini kuomba suluhu ili kuzuia maafa zaidi katika nchi yake, maana Ayatollah hana cha kupoteza. Nchi yake watu wanalala usingizi mzuri na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Hakuna nzi wala mende anaekatiza katika anga lake. Huku Israel wakiwa na kazi ya kukimbilia mashimoni (handakini) kila siku wanaposikia ving'ora.
Wewe tutajie mfumo wa ulinzi duniani unaofanya kazi kwa 100%
 
Sijawahi kusikia waisraeli wala wapalestina wakisema wanapigania dini pale. Kuna mmoja anaonekana mvamizi na mwingine anatetea ardhi yake.
ni kweli Waisraeli hawajasema habari za dini ila Hujamsikia A.Khamenei akiyataka mataifa ya kiislamu yaungane dhidi ya Myahudi? Hayo makundi yanayopigana dhidi ya Israeli ni makundi ya Kiislamu (Shia groups)chini ya ufadhili wa Iran ambalo ni Taifa linalojinasibu kuwa ni la Kiislamu.
 
Back
Top Bottom