Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

Hii comment yako hadi wenzako watakua wanakushangaa. Mmeshaanza kusahau vipigo vilivyowafanya mumpigie kelele watu wanakufa sana
Nafikiri wewe ndo watu wanakushangaa. Kwani kati ya Iran na Israel ni wapi watu wanahaha kila siku kukwepa makombora?

Ushawahi kusikia Iran watu wanakimbilia chini ya mahandaki kukwepa makombora? Lakini Israel kila siku watu wanakimbilia chini ya mahandaki. Yani hakuna anaeijua kesho yake. Leo ikipita salama, basi kesho wanashambuliwa. Kesho ikipita salama basi keshokutwa wanashambuliwa. Wakipumzishwa na Hamas wanapigwa na Hezbulah, wakipumzishwa na Hezbulah wanapigwa na Houth ya Yemen.

Ndomaana wenye akili tunashauri kuwa Netanyahu aombe suluhu ya kumaliza vita. Kwani kupambana na nchi iliyokuwekea makundi mpakani kwako yakutwange kila siku ni kazi nzito. Hapo aumiae ni Israel. Iran haina cha kupoteza kwani kwao ni salama.

Hapo Ayatollah kashika mpini, na Netanyahu kashika makali. Wakivutana yeye (Netanyahu) ndo atachanika mikono. Iran kwao hata baruti ya kibiriti haijawahi kupigwa. Watu wanalala na kuamka salama.
 
Netanyahu katuma mtu kisiri misri kwenda kufufua mazungumzo ya cease fire na Hamas
 
Wakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa
Issue ni ugaidi haijarishi ukristo au uislam...........kwanini magaidi .......kwanini ugaidi unazidi kwenye uislam??.........je unadhani ni lazima wote kuwa wavaa madera?? Tafakari jibu lipo kwa Netanyahu
 
Ameshachanganyikiwa ni mwehu huyu!

Alishalipua kwa kupiga makombora wafu makaburi ya Beirut analipi tena la kufanya na la kusema!?
Jamaa anawahadaa mabwege wenzake ili waendelee kumpa silaha. Macron kaisha shtuka na kukaa pembeni kuwaachia wajinga wamtajirishe huyo bwege na genge lake kupitia vita uchwara.
 
Netanyahu katuma mtu kisiri misri kwenda kufufua mazungumzo ya cease fire na Hamas
Bora afanye hivyo mkuu ili kuokoa roho za wanajeshi wake na raia wake. Bila hivyo akijifanya kichwa ngumu ataumia bure safari hii. Ayatollah kaweka nne na sigara yake mkononi anaangalia tu kwenye luninga jinsi Netanyahu na genge lake wanavyotaabishwa na vijana wake 😂😂😂
 
Magaidi wa kizayuni wanatakiwa wafutwe ili Dunia iwe mahala paamani
Mbona wao ndio wanachokozwa na waislam, Myahudi hanaga shida na mtu as long humuingilii kwenye anga zake wanaoshirikiana nao wanafaidika sana. wapumbavu na fake muslim ndio wanaweza nyenyua midomo kungea hovyo kama wewe the fake one usiyesoma Quran yenu ya iblis
 
Netanyahu alivyo fisi hawezi kukanyaga eneo lililoshambuliwa hata siku moja uoga alionao hata akiskia kijiko kimeanguka ndani kwake anapiga simu kwa Biden, wakati Biden nae ni zezeta vilevile
Biden mwenyewe siku hizi anapoteza sana kumbukumbu. Ukute ashasahau kuwa yeye ni raisi wa nchi gani.

Nasikia alimpigia sim Museven akifikiri kuwa anaongea na Netanyahu. Mpaka watu wake wa karibu walipomwambia kuwa anaongea na Museven badala ya Netanyahu ndo akashtuka na kukata sim ghafla bila hata ya kusema goodbye 😂😂😂

So mtu kama huyo sio wa kumtegemea sana kwenye vita, maana kuna siku atajisahau ataamrisha silaha ziende Lebanon kwa Hezbulah badala ya Israel kwa Netanyahu 😂😂😂
 
Biden akili zimeondoka kitambo Mtu anasalimiana na upepo hadi ana shake hand mbele ya camera kibao si ni kichaa yule
 
Aliona dem kavaa gauni la blue kama mkewe, akaanza kumfuata,wasaidizi wakaokoa jahazi,angemla denda kinguvu
 
Biden akili zimeondoka kitambo Mtu anasalimiana na upepo hadi ana shake hand mbele ya camera kibao si ni kichaa yule
Juzi kamuita trump Mr President kabla ya kurekebisha 'former president'
 
1. Iran kuna wayahudi hakuna anaewagusa.
2. Palestina kuna wayahudi hakuna anaewagusa.
3. Jordan kuna wayahudi hakuna anaewagusa.
4. Syria kuna wayahudi hakuna anaewagusa.
5. Lebanon na nchi nyingine nyingi za eneo hilo kuna wayahudi na hakuna anaewagusa.

Hivyo hata hao kina Netanyahu na genge lake wakifuata mipaka ile ile iliyowekwa na Umoja wa Mataifa kati yake na Wapalestina hakuna mtu atakaewagusa. Ila wakiendelea kuvamia maeneo ya wenzao kuwafukuza katika nyumba zao, kujenga katika ardhi za wenzao huko ukingo wa magharibi, basi watakuwa wanatafuta wenyewe ugomvi na hivyo wataendelea kupambana tu.

Ni kama vile serikali ilivyowatoa wamasai katika ardhi zao kwa nguvu, kila mtu ukiwemo wewe ulilalamika. Sasa kwanini na wenyewe wapalestina wakitolewa kwa nguvu wasilalamike. Cha ajabu wakilalamika wanakamatwa, wakiandamana wanapigwa risasi. Sasa haki hapo iko wapi? Kwanini waisrael wasiridhike na mipaka iliyowekwa ili kuondoa mivutano isiyokuwa na lazima. Bunduki na vifungo kwa wadai haki zao haviwezi kuwa suluhisho la kudumu. Maana kuna siku wale mnaowapiga bunduki na kuwafunga watachoka na kuamua liwalo na liwe, hivyo kuleta maafa pande zote wanyanyasaji na wanyanyaswaji.

Nina imani hata wewe unajua mateso yote wanayopitia wapalestina kule ukingo wa magharibi, sema tu itikadi fulani inakufanya ujifanye huyafahamu. Kila siku, kabla hata ya October 7 Israel imekuwa ikikatazwa na Umoja wa mataifa na sometimes hata Marekani yenyewe kuwa wasitumie nguvu kujenga katika maeneo ambayo sio halali wao kujenga, lakini wanakaidi kwa kuona hakuna mtu wa kuwafanya kitu.
Nią ya waarabu/ waislam ni kufuta wayahudi. Hizi nyingine ni porojo tu
 
Attachments

  • GZ1G9kbWUAYnt5H-640x400.jpg
    GZ1G9kbWUAYnt5H-640x400.jpg
    64 KB · Views: 1
Back
Top Bottom