stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
View: https://x.com/JewishWarrior13/status/1845849103311200392
Kwa udhaifu wa Hezbollah naanza kuwakubali Hamas FaizaFoxy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini marekani aliitoa msaada kwa hamas na hizbollah au hata wa Palestinians wenyewe?ni kweli Waisraeli hawajasema habari za dini ila Hujamsikia A.Khamenei akiyataka mataifa ya kiislamu yaungane dhidi ya Myahudi? Hayo makundi yanayopigana dhidi ya Israeli ni makundi ya Kiislamu (Shia groups)chini ya ufadhili wa Iran ambalo ni Taifa linalojinasibu kuwa ni la Kiislamu.
Watu wengine wote nje ya waisrael na wapalestina wana maslahi yao mengine pale so kuwasikiliza hao ni kupoteza focus. Kama kuupigania uislamu kwani uslamu haupo israel tu?ni kweli Waisraeli hawajasema habari za dini ila Hujamsikia A.Khamenei akiyataka mataifa ya kiislamu yaungane dhidi ya Myahudi? Hayo makundi yanayopigana dhidi ya Israeli ni makundi ya Kiislamu chini ya ufadhili wa Iran ambalo ni Taifa linalojinasibu kuwa ni la Kiislamu.
Mkuu; Hoja iliyojibiwa ni kuhusu mambo ya udini kuingizwa kwenye vita hiyo.Lini marekani aliitoa msaada kwa hamas na hizbollah au hata wa Palestinians wenyewe?
Je ulitaka khamein asemej?
Ayatollah hapiganii dini pale. Iran inapigana ili kuweza kutawala eneo la mashariki ya kati na kujijenga kiuchumi. Kama ni dini huku kwentu watu wanahitaji hata kujengewa misikiti alete pesa tujenga watu wana uhuru wa kuabudu 24/7.Mkuu; Hoja iliyojibiwa ni kuhusu mambo ya udini kuingizwa kwenye vita hiyo.
Kwa hiyo unakubaliana na Ayatollah na hayo makundi anayoyasaidia kwamba ni vita vya Kidini??
Kwa hiyo akijiuzulu magaidi wataacha nia yao ya kuwaangamiza wayahudi?!Netanyahu ajiuzulu tu, maana kiukweli nchi imemshinda vibaya. Kila siku anapigwa, mara houth, mara hezbulah, mara Hamas. Alidai wana mfumo bora kabisa wa ulinzi wa kuzuia makombora yoyote yanayotokea nje, lakini ni kama vile wameweka wavu juu ya ndoo ili kuzuia maji ya bomba yasijaze ndoo.
Jana Marekani alitangaza kuwa anafunga mfumo bora kabisa kuwahi kutokea (Thaad) ambao haitoruhusu hata nzi kutoka nje ya Israel kuingia nchini humo. Lakini kinachoshangaza mfumo huo uliotangazwa kufungwa jana jumlisha na mifumo mingine ya Iron Dome nk imeshindwa kuzuia drone 1 tu leo asubuhi kutoka Lebanon, ambayo imeingia mchana humo na kuuwa wanajeshi wa Israel na wengine kujeruhiwa. Je zingetumwa Hypersonic 5 mfululizo kutoka Iran ni nini kingetokea!!
Akae chini kuomba suluhu ili kuzuia maafa zaidi katika nchi yake, maana Ayatollah hana cha kupoteza. Nchi yake watu wanalala usingizi mzuri na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Hakuna nzi wala mende anaekatiza katika anga lake. Huku Israel wakiwa na kazi ya kukimbilia mashimoni (handakini) kila siku wanaposikia ving'ora.
Magaidi wa kizayuni wanatakiwa wafutwe ili Dunia iwe mahala paamaniKwa hiyo akijiuzulu magaidi wataacha nia yao ya kuwaangamiza wayahudi?!
Umesema ukweli. Kama ingelikuwa ni vita dhidi ya Uislam, Israeli angekuwa keshawamaliza Waislam milioni 1.7+ walio hapo nchini Israeli. Lakini hilo halipo na hajafanya hivyo. Israeli aliweka wazi tangu mwanzoni kabisa tar.07Okt.2023 kwamba Walengwa watakaoangamizwa ni HAMAS, Hezbollah na wengineo. Hajawalenga Waislam hata kidogo. Ila Iran ndo inapenyeza hoja ya udini kwenye vita hiyo.Watu wengine wote nje ya waisrael na wapalestina wana maslahi yao mengine pale so kuwasikiliza hao ni kupoteza focus. Kama kuupigania uislamu kwani uslamu haupo israel tu?
Hiyo sio vita ya ki dini ila wanaosaidiana wana dini.Mkuu; Hoja iliyojibiwa ni kuhusu mambo ya udini kuingizwa kwenye vita hiyo.
Kwa hiyo unakubaliana na Ayatollah na hayo makundi anayoyasaidia kwamba ni vita vya Kidini??
Mkuu; Ayatollah hapiganii dini pale ila anaingiza hoja ya Udini ili yale Makundi yanayaitwa ni ya kigaidi yapate kuungwa mkono na Waislam wa maeneo mengine ambayo hayajishughulishi na mzozo huo bali wamekaa kimya.Ayatollah hapiganii dini pale. Iran inapigana ili kuweza kutawala eneo la mashariki ya kati na kujijenga kiuchumi. Kama ni dini huku kwentu watu wanahitaji hata kujengewa misikiti alete pesa tujenga watu wana uhuru wa kuabudu 24/7.
Huyu ni kichaa hizo kelele zake anapiga kila siku na anazidi kuaibika kila siku, kupigana na hezbollah hadi watumwe makomandoo kutoka marekani wakusaidie ,aache kubweka bweka kama mbwa kokoWadau hamjamboni nyote?
Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan
Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel
Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu wa Beirut
Anaongeza kuwa Israel inapambana na Iran ambayo ni muhimili wa ugaidi duniani ambayo imekusudia kulifuta taifa la kiyahudi
Amedai kuwa anajua kuwa nchi yake inalipa gharama kubwa kwenye vita hii lakini mafanikio ni makubwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu bin isihaka bin Ibrahimu
October 14, 2024
Netanyahu visits base hit by Hezbollah drone, says IDF will continue to strike in Beirut
By Lazar Berman Follow
Today, 7:19 pm
6
Prime Minister Benjamin Netanyahu, center, visits a Golani training base targeted by a deadly Hezbollah drone strike a day earlier, October 14, 2024. (Kobi Gideon/GPO)
Visiting the Golani training base at which a Hezbollah drone killed four soldiers last night, Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to continue striking the Iran-backed Lebanese terror group, including in Beirut.
“We are fighting a tough campaign against Iran’s axis of evil that wants to totally destroy us,” says Netanyahu. “They won’t make it. We keep fighting. We pay painful prices, but we have tremendous achievements — and we will continue to achieve them.”
“I want to make it clear: we will continue to hit Hezbollah mercilessly in all parts of Lebanon — also in Beirut,” he says, after Hebrew media reports indicated that he had instructed the IDF to refrain from hitting the Lebanese capital at Washington’s behest.
Netanyahu visits the dining hall that was hit by the UAV, and talks about the incident with survivors.
He also visits soldiers injured in the attack at Hillel Yaffe Medical Center in Hadera.
Kwani toka lini alipiga kwa huruma?Wadau hamjamboni nyote?

Kwani alishawahi kuwatandika kwa huruma?Wadau hamjamboni nyote?

Yeah. Udini pale ni propaganda ya kuwaingiza wajinga mkenge.Mkuu; Ayatollah hapiganii dini pale ila anaingiza hoja ya Udini ili yale Makundi yanayaitwa ni ya kigaidi yapate kuungwa mkono na Waislam wa maeneo mengine ambayo hayajishughulishi na mzozo huo bali wamekaa kimya.
Vikimaliza tuna uhakika kidogo boko haram na alshabab wa kenya na msumbiji watatuliaWakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa