Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

Lini marekani aliitoa msaada kwa hamas na hizbollah au hata wa Palestinians wenyewe?

Je ulitaka khamein asemej?
 
Watu wengine wote nje ya waisrael na wapalestina wana maslahi yao mengine pale so kuwasikiliza hao ni kupoteza focus. Kama kuupigania uislamu kwani uslamu haupo israel tu?
 
Lini marekani aliitoa msaada kwa hamas na hizbollah au hata wa Palestinians wenyewe?

Je ulitaka khamein asemej?
Mkuu; Hoja iliyojibiwa ni kuhusu mambo ya udini kuingizwa kwenye vita hiyo.
Kwa hiyo unakubaliana na Ayatollah na hayo makundi anayoyasaidia kwamba ni vita vya Kidini??
 
Mkuu; Hoja iliyojibiwa ni kuhusu mambo ya udini kuingizwa kwenye vita hiyo.
Kwa hiyo unakubaliana na Ayatollah na hayo makundi anayoyasaidia kwamba ni vita vya Kidini??
Ayatollah hapiganii dini pale. Iran inapigana ili kuweza kutawala eneo la mashariki ya kati na kujijenga kiuchumi. Kama ni dini huku kwentu watu wanahitaji hata kujengewa misikiti alete pesa tujenga watu wana uhuru wa kuabudu 24/7.
 
Kwa hiyo akijiuzulu magaidi wataacha nia yao ya kuwaangamiza wayahudi?!
 
Jukumu #1 la kamanda mkuu ni kupiganisha vita sio kujichimbia mashimoni na kudanganya wajinga bikra 72 and such stupid myths!
 
Watu wengine wote nje ya waisrael na wapalestina wana maslahi yao mengine pale so kuwasikiliza hao ni kupoteza focus. Kama kuupigania uislamu kwani uslamu haupo israel tu?
Umesema ukweli. Kama ingelikuwa ni vita dhidi ya Uislam, Israeli angekuwa keshawamaliza Waislam milioni 1.7+ walio hapo nchini Israeli. Lakini hilo halipo na hajafanya hivyo. Israeli aliweka wazi tangu mwanzoni kabisa tar.07Okt.2023 kwamba Walengwa watakaoangamizwa ni HAMAS, Hezbollah na wengineo. Hajawalenga Waislam hata kidogo. Ila Iran ndo inapenyeza hoja ya udini kwenye vita hiyo.
 
Mkuu; Hoja iliyojibiwa ni kuhusu mambo ya udini kuingizwa kwenye vita hiyo.
Kwa hiyo unakubaliana na Ayatollah na hayo makundi anayoyasaidia kwamba ni vita vya Kidini??
Hiyo sio vita ya ki dini ila wanaosaidiana wana dini.
Ulitaka wasemeje?
 
Ayatollah hapiganii dini pale. Iran inapigana ili kuweza kutawala eneo la mashariki ya kati na kujijenga kiuchumi. Kama ni dini huku kwentu watu wanahitaji hata kujengewa misikiti alete pesa tujenga watu wana uhuru wa kuabudu 24/7.
Mkuu; Ayatollah hapiganii dini pale ila anaingiza hoja ya Udini ili yale Makundi yanayaitwa ni ya kigaidi yapate kuungwa mkono na Waislam wa maeneo mengine ambayo hayajishughulishi na mzozo huo bali wamekaa kimya.
 
Huyu ni kichaa hizo kelele zake anapiga kila siku na anazidi kuaibika kila siku, kupigana na hezbollah hadi watumwe makomandoo kutoka marekani wakusaidie ,aache kubweka bweka kama mbwa koko
Ufaransa na spain wanasitisha kuwapa na kuwauzia silaha israel, muda unavyozidi kwenda ndio anavyozidi kubanwa
 
Kwani toka lini alipiga kwa huruma?
 
Kwani alishawahi kuwatandika kwa huruma?
 
Mkuu; Ayatollah hapiganii dini pale ila anaingiza hoja ya Udini ili yale Makundi yanayaitwa ni ya kigaidi yapate kuungwa mkono na Waislam wa maeneo mengine ambayo hayajishughulishi na mzozo huo bali wamekaa kimya.
Yeah. Udini pale ni propaganda ya kuwaingiza wajinga mkenge.
 
Hata akijiuzulu, atakayekuja utakuta ana moto huo huo. Huko nyuma, walishakuwepo wababe kama akina Moshe Dayan, Yitzhak Rabin, Ariel Sharon n.k, kila wakibadilishwa wanakuja wengine wa moto hivyo hivyo.
Ni kama viongozi wa uncle sam (USA), wanabadilishwa lakini mambo yao ni yale yale.
 
Wakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa
Vikimaliza tuna uhakika kidogo boko haram na alshabab wa kenya na msumbiji watatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…