Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hayo ndio mambo ya kupigania mkuuLakini pia jambo linalotia kinyaa ni uwepo wa michezo michafu ya rushwa ktk hizi idara zinazosimamia usaili kwa mfano mtu unapomuhoji kwenye oral interview Kwanini matokeo yake yasiwekwe kwenye account yake ajue kapata ngapi ?
Unashangaa tu mtu kaitwa kazini lkn ufaulu wake wa oral interview haujulkani maana yake ni kuwa ata ukifanya interview zote Bado anayeamua nani wa kuingia kazini ni mtu na si alama zake za ufaulu
Hivi ukiruhusu kupita bila usaili si ndio disaster kabisa, maana watapishwa mno.