NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

Huwezi kusoma vitabu vya tie kuanzia form one up to six ndani ya mwezi mmoja, na pia usome mambo ya psychology mwaka wa kwanza hadi wa tatu kwa huohuo mwezi mmoja, labda uwe roboti
Wanafaulu vipi wengine ?watu wanapata 98 % kama haujui haujui tu.
 
Ila hoja yao ya kufutwa kwa usaili kisa wanakaa muda mrefu bila usaili ni ya kipuuzi na ya kupuuzwa kabisa.
Wahasibu, wanasheria, wahandisi, madaktari wote hao hupitia usaili.

Kampuni gani itakuajiri bila kukupima, hata ukae miaka 10 lazima upimwe je unakumbuka ulichofundishwa?? Sasa hukumbuki utaenda kufundisha nini?

Hesabu ni formula, wewe ushasahau zote, wewe ticha wa kemia upewe maabara na huna chemical formula unayokumbuka mwisho uishie kuichoma moto maabara yenyewe.
Khaaaa
 
kwamba daktari anasahau matibabu ya magonjwa common ? je anaenda kutibu nn ? kama mwl hajui aina za maneno , je ataenda fundisha nn huko shulen
Dr. Akaa darasani miaka mingapi na ana field practice ngapi kabla ya kuhitimu?
Huyu mwl.
1. Hali ya kiuchumi wakati wa masomo (Ada, chakula na malazi) ukilinganisha na hao ma Dr.
2. Amekaa mtaani muda gani hafi siku ya interview?
 
Hoja yako ni dhaifu sana. Hiyo zamani waalimu walikuwa wachache sasa hivi ni wengi kuliko mahitaji. Hata kada zingine walikuwa wanachukuliwa tu bila kuwa na mambo mengi. Na kadiri miaka inavyosonga uhitaji utazidi kuwa mdogo. Kama nchi tufikirie jinsi gani ya kupunguza ukubwa wa tatizo kupitia ujasiriamali na uwezeshaji wa sekta binafsi.
Huitaji n mdogo arf huko Kuna shule Ina wanafunzi 500 na Ina walimu wawili ndugu unatumia taarifa sahihi unapochangia mada au
 
Ulipotaja rejista tu nikajua huyu ni ticha. Good morning ticha
Mimi ni mwanalugha sio mwalimu. Ila ninaelewa kadhia wanayopitia vijana wetu waliotenda kwa uaminifu wakasoma kwa jasho kufa na kupona maana wengine waliona kama adhabu wakawa kwenye Comfort zone Kisha serikali isojali inawezaje kuchukulia hao kama mzaha wa Kisasa ilhali uhitaji wa waalimu mikoani na pembezoni ni zaidi ya uhaba?

Je tutumie watafiti huru kufanya research just quantitative kuona kama Kweli Tanzania Haina shida ya waalimu? Jiepusheni na fedheha iso ya lazima. Ikiwemo kukosa kibali mbele za Kila kitu.
 
Wanafaulu vipi wengine ?watu wanapata 98 % kama haujui haujui tu.
K
Mimi ni mwanalugha sio mwalimu. Ila ninaelewa kadhia wanayopitia vijana wetu waliotenda kwa uaminifu wakasoma kwa jasho kufa na kupona maana wengine waliona kama adhabu wakawa kwenye Comfort zone Kisha serikali isojali inawezaje kuchukulia hao kama mzaha wa Kisasa ilhali uhitaji wa waalimu mikoani na pembezoni ni zaidi ya uhaba?

Je tutumie watafiti huru kufanya research just quantitative kuona kama Kweli Tanzania Haina shida ya waalimu? Jiepusheni na fedheha iso ya lazima. Ikiwemo kukosa kibali mbele za Kila kitu.
Kuna mda itabidi turuhusu watafiti huru kwenye mashule yetu. Tuone kama kweli kuna wakim wa kutosha.
 
Ndugu yangu. Kwani dereva, rubani daktari , na fami zinginezote zinapofanyiwa interview mbona hatuhoki haya ??? Kwanini iwe kwa mwalim peke ake. Kwanini tulalamikie interview hii peke ake. Why not zingine zote ????
Hao ambao wameajiriwa kama walim wakati si walimu by professional? Wanafanya nn kwneye hizo nafasi?

Umeshaona dk, eng, ruban ambae si rubani by professional na akaruhusiwa kufanya hiyo kazi
 
Hao ambao wameajiriwa kama walim wakati si walimu by professional? Wanafanya nn kwneye hizo nafasi?

Umeshaona dk, eng, ruban ambae si rubani by professional na akaruhusiwa kufanya hiyo kazi
Wanapimwa .. na wanalitia semina wezeshi. .. vyovtote utavosema. Ila ni lazima mtu anaefanya kazi ya ualim lazima awe na mastery ya somo husika. Sio unakua na ujuzi wa kubabatiza tu af unasema ety wewe ni mwalimu.
 
Dah. Tunahitaji san watu wenye weredi wa kufikiri wa namna

Umepanick sana.
Madaktaru wanafanya intervuew, watu wa uchumi mabenk humo na TRA wanafanya Interview ... Why ninyi wali. Muogope interview jamani ???

Kwani hata Ruban akifanyiwa interview nae inamanisha wanamasjaka na elim yake . Au wanaangalia weridi wake ?
Serikali iliwazoesha vibaya hawa watu ila usaili ni njia bora.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo! Ingawa naona kuna watu wanashangilia. Yaani huoni tofauti ya waalimu na hao wahasibu?

Waalimu wanasoma vyuo vya wizara ya elimu. Hata walio vyuo binafsi, mitaala yao na ubora wake inasimamiwa na wizara ya Elimu Wanaajiliwa na wizara ya Elimu. Huoni Tofauti? Madaktari gani wanaoajiliwa kwa usaili nchi hii? Hao wahasibu wanaajiliwa na wizara ya Uhasibu? Ipo? Mitaala yao inasimamiwa na wizara ya Uhasibu? Ipo?

Nakupa mifano hiyo ili angalau uwe na akili. Kwamba Wizara ya elimu inafanya ujinga na waziri wao. Yaanio imesimamia ubora wa wahitimu na kuridhika nao, na kutoa vyeti. Baadaye wakitoa ajira, waziri anasema kama mlevi eti ubora wao sijui nyoko gani vile!
Una hasira mpaka hoja yako haionekani kwa ulichoandika.

Kwani wahasibu wanasoma vyuo gani, tena baadhi ya wahasibu wanasoma vyuo vya kihasibu kama IFM, TIA ila bado watatakiwa kua na CPA ili waajiriwe, hao wanasheria pamoja na kula shule 4yrs ila bado muajiri atataka awe certified kwa kupitia law school.

Sasa wewe ticha unataka umalize miaka yako 3 pale Dece, kwa majibu ya UE ya kuibia halafu uajiriwe kiulaini tu, hivi unaelewa unachokiandika kijana??

Imagine umemaliza chuo 2017, halafu unataka uajiriwe 2024 bila interview?? Vipi kama umekufa, umepata ajali na uwezo wa kufundisha huna, umekua kichaa nk.

Mkuu hii hoja ya kutokua na usaili ni dhaifu mno, mnaoitetea ni vijana wavivu msiotaka kuwajibika.
 
Back
Top Bottom