deNavigator
Member
- Sep 22, 2018
- 49
- 63
- Thread starter
- #81
Dah. Tunahitaji san watu wenye weredi wa kufikiri wa namnaIla hoja yao ya kufutwa kwa usaili kisa wanakaa muda mrefu bila usaili ni ya kipuuzi na ya kupuuzwa kabisa.
Wahasibu, wanasheria, wahandisi, madaktari wote hao hupitia usaili.
Kampuni gani itakuajiri bila kukupima, hata ukae miaka 10 lazima upimwe je unakumbuka ulichofundishwa?? Sasa hukumbuki utaenda kufundisha nini?
Hesabu ni formula, wewe ushasahau zote, wewe ticha wa kemia upewe maabara na huna chemical formula unayokumbuka mwisho uishie kuichoma moto maabara yenyewe.
Umepanick sana.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo! Ingawa naona kuna watu wanashangilia. Yaani huoni tofauti ya waalimu na hao wahasibu?
Waalimu wanasoma vyuo vya wizara ya elimu. Hata walio vyuo binafsi, mitaala yao na ubora wake inasimamiwa na wizara ya Elimu Wanaajiliwa na wizara ya Elimu. Huoni Tofauti? Madaktari gani wanaoajiliwa kwa usaili nchi hii? Hao wahasibu wanaajiliwa na wizara ya Uhasibu? Ipo? Mitaala yao inasimamiwa na wizara ya Uhasibu? Ipo?
Nakupa mifano hiyo ili angalau uwe na akili. Kwamba Wizara ya elimu inafanya ujinga na waziri wao. Yaanio imesimamia ubora wa wahitimu na kuridhika nao, na kutoa vyeti. Baadaye wakitoa ajira, waziri anasema kama mlevi eti ubora wao sijui nyoko gani vile!
Madaktaru wanafanya intervuew, watu wa uchumi mabenk humo na TRA wanafanya Interview ... Why ninyi wali. Muogope interview jamani ???
Kwani hata Ruban akifanyiwa interview nae inamanisha wanamasjaka na elim yake . Au wanaangalia weridi wake ?