NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

Competency ya walimu inaanzia vyuo walivyosoma, shule ngap zina upungufu wa walimu na hawajahajiliwa, NETO wako sahihi katika malalamiko yao sikiliza kwa umakini utaelewa
Ma nene ya kuwa wana mapungufu ni kukwepa lawama ya kukosa uwezo wa kuwaajiri,wengine wametoka shule miaka saba au zaidi kusahau ni lazima,ila kama elimu aliyopatiwa ikiwa bora bado ubora itakiwepo kama ilikuwa na mapungufu yatakuwepo hivyo ni vyema hoja zao zikajibiwa na sii kukatishwa tamaa na kuwavunja moyo ili wasihoji.
 
.Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki.

Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la kusahau content lipo deep sana.

Na kwa uziada wapo walopita shule kijanja janja tu so hawako na uwezo totally.... *sio kua wamesahau ila hawana uwezo. ...

Heb imagine Mwalim wa English hajui hata kuna aina ngapi za maneno (word classes) ... Kuna aina ngap za prepositions au hata issue ya tenses hajui kabisa... Ukimuuliza articles na function ndo kabiiisa. Ukitaka akimbie muulize grammatical errors ni nini na zipoje.

Mwali wa kiswahili hata kuchambua senyensi hajui . Aina na makundi ya ngeli hajui. Ukitaka akimbie muulize tu ushahidi wa kiisim kua kiswahili ni kibantu na aseme hatua za usanifishaji lugha.

Mwalim wa hesab anachojua ni kuchapa tu. Ila namna ya ku impart knowledge kwa kmtoto hajui

From there watu wataamka na kuanza kujishughurisha. .. me nawahakikishia kua wabongo ni waviv sana. .. acha wenye chembechembe za uchapa kazi waajiriwe kupitia usaili...

Ukinijib anzia penye hoja ya kuhusu kutafuta mwalim kwajil ya mwanao wewe .. unaambiwa huyu mwalim alipata 16 kwenye paper ya interview na huyu mwingine alipata 80. Je ni yupi ungependa akufundishie mtoto ??

Ukinijib kitu naomba ongeza comment. Tunafanya usaili kwa madaktari, kwa wanamichezo, marubani, madereva na hata kwa wake tunao waoa. Sasa why mwalim asifanyiwe interview ??.

Heb sogea mbele nikuulize ndugu, unadhani mwalim alofeli paper anafaa kufundisha somo husika ?
Acha upotoshaji hata kama ni Mnufaika wa mfumo wa hovyo wa Ma CCM Bora ukae kimya ibaki siri yako.
 
Kwanza ndugu mwandishi huna haki ya kuongea kwasababu ata uandishi wako unatia mashaka
Haya sasa ngoja nijaribu kukujibu
Sio kwamba NETO wanapinga usaili ila kinachofanyika kwenye usaili ndicho kibaya
Kwa mfano unawezaje kumpa mtu mtihani wa usaili wa English ilihali chuoni ulimfundisha kwa lugha ya kiswahili?
Je unawezaje kumpima mtu aliyehitimu 2015 na aliyehitimu 2024 kwa mtihani mmoja?
Je unawezaje kuwa na nafasi 15 za kazi arf kwenye usaili unaita watu 600
Unamuondoa mtu kwenye mchakato wa ajira kwa kigezo Cha kuwa hajafaulu usaili Kwanini unaruhusu aendelee kujitolea shuleni ?
 
Sasa hapo swali wali pass vipi vyuoni ? hapo tatizo ni serikali pumbavu ya ccm.....hao waoimu ilitakiwa wasipite vyuoni ....shida inaanzia hapo...ni vizuri serikali izingatie ufanisi wa shule na walimu kwenye kupanga daraja za walimu kimishahara ....walimu walio kwenye ajira wanafanya upuuzi mkubwa sana ...ufanisi warning 0 kabisa ndiyo maana hata hao walimu wanashindwa hayo mambo uliyo eleza tatizo ni walimu waliopo kwenye vyuo vyao pia
Ndugu yangu. Kwani dereva, rubani daktari , na fami zinginezote zinapofanyiwa interview mbona hatuhoki haya ??? Kwanini iwe kwa mwalim peke ake. Kwanini tulalamikie interview hii peke ake. Why not zingine zote ????
 
NETO wengi ni vijana waliofeli, au kuana na ufaulu wa chini sana,
hawana sifa na kwakweli hawaajiriki.

NETO ni hatari kwa ustawi wa taaluma mashuleni 🐒
Acha upotoshaji. Mara nyingi wewe huandika habari za kujisifia CCM na viunga vyake. Sasa madai ya NETO huwezi kuyaelewa maana ninyi Wana CCM uwezo wenu wa kufikiri umefika mwisho. Hamna jipya zaidi ya kusifiana sifiana kinafiki.
Lakini taratibu tu tutaelewana maana hii nchi ni yetu sote na si mali ya wachache hivyo lazima tule wote cake ya taifa.
 
Ndugu yangu. Kwani dereva, rubani daktari , na fami zinginezote zinapofanyiwa interview mbona hatuhoki haya ??? Kwanini iwe kwa mwalim peke ake. Kwanini tulalamikie interview hii peke ake. Why not zingine zote ????
Sija hoji kwa walimu tu nimesema tatizo ni ufundishaji sio kwamba hao walimu waliopo makazini ni wazuri sana wengine ni wabovu kuliko hao wasio na ajira...elimu zote tanzania ni mbovu na wahitimu wake ni wabovu
 
Acha upotoshaji. Mara nyingi wewe huandika habari za kujisifia CCM na viunga vyake. Sasa madai ya NETO huwezi kuyaelewa maana ninyi Wana CCM uwezo wenu wa kufikiri umefika mwisho. Hamna jipya zaidi ya kusifiana sifiana kinafiki.
Lakini taratibu tu tutaelewana maana hii nchi ni yetu sote na si mali ya wachache hivyo lazima tule wote cake ya taifa.
Relax bas gentleman jikite kwenye hoja mahususi mezani,

kumbwelambwela hakusaidii sana 🐒
 
.Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki.

Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la kusahau content lipo deep sana.

Na kwa uziada wapo walopita shule kijanja janja tu so hawako na uwezo totally.... *sio kua wamesahau ila hawana uwezo. ...

Heb imagine Mwalim wa English hajui hata kuna aina ngapi za maneno (word classes) ... Kuna aina ngap za prepositions au hata issue ya tenses hajui kabisa... Ukimuuliza articles na function ndo kabiiisa. Ukitaka akimbie muulize grammatical errors ni nini na zipoje.

Mwali wa kiswahili hata kuchambua senyensi hajui . Aina na makundi ya ngeli hajui. Ukitaka akimbie muulize tu ushahidi wa kiisim kua kiswahili ni kibantu na aseme hatua za usanifishaji lugha.

Mwalim wa hesab anachojua ni kuchapa tu. Ila namna ya ku impart knowledge kwa kmtoto hajui

From there watu wataamka na kuanza kujishughurisha. .. me nawahakikishia kua wabongo ni waviv sana. .. acha wenye chembechembe za uchapa kazi waajiriwe kupitia usaili...

Ukinijib anzia penye hoja ya kuhusu kutafuta mwalim kwajil ya mwanao wewe .. unaambiwa huyu mwalim alipata 16 kwenye paper ya interview na huyu mwingine alipata 80. Je ni yupi ungependa akufundishie mtoto ??

Ukinijib kitu naomba ongeza comment. Tunafanya usaili kwa madaktari, kwa wanamichezo, marubani, madereva na hata kwa wake tunao waoa. Sasa why mwalim asifanyiwe interview ??.

Heb sogea mbele nikuulize ndugu, unadhani mwalim alofeli paper anafaa kufundisha somo husika ?
Ulichoandika hapo juu kama ni kweli basi siyo tatizo la NETO; ni JANGA la TAIFA kua elimu imedorora, ishakua siasa, na uongouongo.
 
Mleta mada Fanya utafiti wakutosha usiitetee maamuzi ya serikali kwa sababu ya ubinafsi wako ,kwanza usahili huu ni kupotezeana muda mfano kwa somo la kiswahili waliomba ni elfu 28 nafasi walizotoa serikali ni 184 kwa nchi mzima,kwa somo la geography waliomba ni zaidi ya elfu 23 nafasi zilizotolewa ni mia mbili kwa nchi mzima,kwa somo la history waliomba ni zaidi ya elfu 25 nafasi zilizotolewa ni mia mbili .hivyo kilio cha NETO uchache wa nafasi zilizotolewa ukizingatia shule za umma Zina uhaba wa waalimu. Pili,wahitimu wa 2015 waliambiwa kwa barua iliotolewa na serikali mwezi June 2016 kuwa ajira zitatolewa baada ya serikali kukamilisha zoezi la uhakiki wa vyeti vya kitaaluma avya watumishi hivyo wawe na subira kilichotokea ni propaganda mbalimbali kama vile vijana wajitolee, .Hitimisho kama hamuwezi kutusaidia wahanga wa ajira msituumize huku mtaani maisha tunayasongesha ,tuna familia na tuna lipa Kodi ili ninyi mnaotukejeli mupate posho
 
Kwanza ndugu mwandishi huna haki ya kuongea kwasababu ata uandishi wako unatia mashaka
Haya sasa ngoja nijaribu kukujibu
Sio kwamba NETO wanapinga usaili ila kinachofanyika kwenye usaili ndicho kibaya
Kwa mfano unawezaje kumpa mtu mtihani wa usaili wa English ilihali chuoni ulimfundisha kwa lugha ya kiswahili?
Je unawezaje kumpima mtu aliyehitimu 2015 na aliyehitimu 2024 kwa mtihani mmoja?
Je unawezaje kuwa na nafasi 15 za kazi arf kwenye usaili unaita watu 600
Unamuondoa mtu kwenye mchakato wa ajira kwa kigezo Cha kuwa hajafaulu usaili Kwanini unaruhusu aendelee kujitolea shuleni ?
Waalimu walizoe kazi ni bwerere..
Kada zingine zote zina interview na haiangalii umehitimu lini..
Madaktari na Engineers wako mtaani hawana kazi, waalimu wao uspecial wao ni upi?

Kama upo competent naamini unawez kuajirika popote duniani, ila kwenye kumlegezea mtu ilimradi tu apate ajira,sio sawa..
Mbona waalimu wa kenya na uganda wapo wengi tu hapa Tz, unadhani kwanini?..watu wanataka matokeo, sio mtu uwezo mdogo unataka kazi, sio kiivyo...
 
Sure. Tupendekeze marekebisho yatayowabeba vijana kiujumla. Ila nasi vijana tusiache kujitahidi kujishughurisha. ...

Wakitupa nafasi tuhakikishe tupo na ujuzi.
unakaa home 4years unafikili taaluma itabaki kichwani hilo la kulicheki kichwa kishakuwa na mambo mengi
 
.Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki.

Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la kusahau content lipo deep sana.

Na kwa uziada wapo walopita shule kijanja janja tu so hawako na uwezo totally.... *sio kua wamesahau ila hawana uwezo. ...

Heb imagine Mwalim wa English hajui hata kuna aina ngapi za maneno (word classes) ... Kuna aina ngap za prepositions au hata issue ya tenses hajui kabisa... Ukimuuliza articles na function ndo kabiiisa. Ukitaka akimbie muulize grammatical errors ni nini na zipoje.

Mwali wa kiswahili hata kuchambua senyensi hajui . Aina na makundi ya ngeli hajui. Ukitaka akimbie muulize tu ushahidi wa kiisim kua kiswahili ni kibantu na aseme hatua za usanifishaji lugha.

Mwalim wa hesab anachojua ni kuchapa tu. Ila namna ya ku impart knowledge kwa kmtoto hajui

From there watu wataamka na kuanza kujishughurisha. .. me nawahakikishia kua wabongo ni waviv sana. .. acha wenye chembechembe za uchapa kazi waajiriwe kupitia usaili...

Ukinijib anzia penye hoja ya kuhusu kutafuta mwalim kwajil ya mwanao wewe .. unaambiwa huyu mwalim alipata 16 kwenye paper ya interview na huyu mwingine alipata 80. Je ni yupi ungependa akufundishie mtoto ??

Ukinijib kitu naomba ongeza comment. Tunafanya usaili kwa madaktari, kwa wanamichezo, marubani, madereva na hata kwa wake tunao waoa. Sasa why mwalim asifanyiwe interview ??.

Heb sogea mbele nikuulize ndugu, unadhani mwalim alofeli paper anafaa kufundisha somo husika ?
Pumbavu kabisa wewe.
Hiyo 70% ya incompetence ya walimu wa NETO umeipataje?.
 
Competency ya walimu inaanzia vyuo walivyosoma, shule ngap zina upungufu wa walimu na hawajahajiliwa, NETO wako sahihi katika malalamiko yao sikiliza kwa umakini utaelewa
Nakubari. Upo sahihi kwa upande wako

Lakini tukinena kiuana zuoni. Chuo kazi yake ni kukupa mwanga na so kukufundisha all over the way.

Chuo kinakufungulia mrango ni wajib wako binafsi kusoma (kujinoa) .. sio kazi ya chuo kusoma au kukufundisha as if upo darasa la pili.
Hata advance hawafundish kias hicho. Wanafunzi hujisomea ila wakifika chuo huanza uvivu

Thats why ukienda chuo unaambiwa lecture ananafasi ya 25 percent or less. Zingine unatafuta on your own.. lakini wanazuoni hasa wa Tanzania wanaenda kutafuta pisi au sponsors.
 
.Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki.

Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la kusahau content lipo deep sana.

Na kwa uziada wapo walopita shule kijanja janja tu so hawako na uwezo totally.... *sio kua wamesahau ila hawana uwezo. ...

Heb imagine Mwalim wa English hajui hata kuna aina ngapi za maneno (word classes) ... Kuna aina ngap za prepositions au hata issue ya tenses hajui kabisa... Ukimuuliza articles na function ndo kabiiisa. Ukitaka akimbie muulize grammatical errors ni nini na zipoje.

Mwali wa kiswahili hata kuchambua senyensi hajui . Aina na makundi ya ngeli hajui. Ukitaka akimbie muulize tu ushahidi wa kiisim kua kiswahili ni kibantu na aseme hatua za usanifishaji lugha.

Mwalim wa hesab anachojua ni kuchapa tu. Ila namna ya ku impart knowledge kwa kmtoto hajui

From there watu wataamka na kuanza kujishughurisha. .. me nawahakikishia kua wabongo ni waviv sana. .. acha wenye chembechembe za uchapa kazi waajiriwe kupitia usaili...

Ukinijib anzia penye hoja ya kuhusu kutafuta mwalim kwajil ya mwanao wewe .. unaambiwa huyu mwalim alipata 16 kwenye paper ya interview na huyu mwingine alipata 80. Je ni yupi ungependa akufundishie mtoto ??

Ukinijib kitu naomba ongeza comment. Tunafanya usaili kwa madaktari, kwa wanamichezo, marubani, madereva na hata kwa wake tunao waoa. Sasa why mwalim asifanyiwe interview ??.

Heb sogea mbele nikuulize ndugu, unadhani mwalim alofeli paper anafaa kufundisha somo husika ?
hawawez kuelewa ila huko kweny mhimili wa elimu , watoa ilimu ni hamnazk kuliko wanaoitaka ilimu , Tupige magoti tusali
 
Nakubari. Upo sahihi kwa upande wako

Lakini tukinena kiuana zuoni. Chuo kazi yake ni kukupa mwanga na so kukufundisha all over the way.

Chuo kinakufungulia mrango ni wajib wako binafsi kusoma (kujinoa) .. sio kazi ya chuo kusoma au kukufundisha as if upo darasa la pili.
Hata advance hawafundish kias hicho. Wanafunzi hujisomea ila wakifika chuo huanza uvivu

Thats why ukienda chuo unaambiwa lecture ananafasi ya 25 percent or less. Zingine unatafuta on your own.. lakini wanazuoni hasa wa Tanzania wanaenda kutafuta pisi au sponsors.
ishu wanafauluje ? je mitihani inawaanda vp kutrain wanafunzi iwapo trainees hawapo compitent
 
Back
Top Bottom