Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 289
- 416
Ccm Haina haja na kura za wananchi ili "washinde".Wanabodi
TAAMULI HURU: Wamarekani hawajawa tayari kuongozwa na Rais mwanamke Wamarekani, japo ndio the oldest democracy,lakini sio kila kitu!,bado wanakabiliwa na mfumo dume,hawajawa tayari kumchagua rais mwanamke,Sisi Afrika tumewatangulia,jana Namibia wamefanya kweli,wamechagua rais mwanamke,swali ni je na sisi Tanzania, 2025, tunakwenda kuwaonyesha?.
Paskali