Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

ile ya maana zaidi ni kwamba,
kama Taifa tunasonga pamoja, huku tukiongozwa na kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan,

hayo ya kibinafsi,
yatafutiwe ufumbuzi wa kibinafsi na itapendeza zaidi šŸ’
Kipenzi cha Watanzania wote huo utafiti umeufanyia wapi? Au ndiyo yale yale ya kumuita Jiwe shujaa wenu kama afanyavyo johnthebaptist, uchawa uwe na mipaka
 
Back
Top Bottom