Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 289
- 416
Ccm Haina haja na kura za wananchi ili "washinde".Wanabodi
TAAMULI HURU: Wamarekani hawajawa tayari kuongozwa na Rais mwanamke Wamarekani, japo ndio the oldest democracy,lakini sio kila kitu!,bado wanakabiliwa na mfumo dume,hawajawa tayari kumchagua rais mwanamke,Sisi Afrika tumewatangulia,jana Namibia wamefanya kweli,wamechagua rais mwanamke,swali ni je na sisi Tanzania, 2025, tunakwenda kuwaonyesha?.
Paskali
ni bayana waTanzania wote wameshaamua kwenda na kipenzi chao, chenye dhamira njema na nia madhubuti ya wazi kabisa, ya kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.Wanabodi
TAAMULI HURU: Wamarekani hawajawa tayari kuongozwa na Rais mwanamke Wamarekani, japo ndio the oldest democracy,lakini sio kila kitu!,bado wanakabiliwa na mfumo dume,hawajawa tayari kumchagua rais mwanamke,Sisi Afrika tumewatangulia,jana Namibia wamefanya kweli,wamechagua rais mwanamke,swali ni je na sisi Tanzania, 2025, tunakwenda kuwaonyesha?.
Paskali
Hatupigi kura kuchagua jinsia, tunapiga kura kuchagua mtu mwenye uwezo. Haijalishi ni mwanamke au mwanaume, uwezo ndilo jambo la msingi. Haya mambo ya mpigie kura kisa mwanaume, mpigie kura kisa mwanamke, mpe uongozi kisa mwanaume, mpe uongozi kisa mwanamke ndiyo maana tuna viongozi wengine unajiuliza hata huo uongozi wameupata vipi unashangaa.Wanabodi
TAAMULI HURU: Wamarekani hawajawa tayari kuongozwa na Rais mwanamke Wamarekani, japo ndio the oldest democracy,lakini sio kila kitu!,bado wanakabiliwa na mfumo dume,hawajawa tayari kumchagua rais mwanamke,Sisi Afrika tumewatangulia,jana Namibia wamefanya kweli,wamechagua rais mwanamke,swali ni je na sisi Tanzania, 2025, tunakwenda kuwaonyesha?.
Paskali
Kuna mgombea yeyote wa urais aliye mwanamke hapa kwetu ambaye ameshapitishwa na chama chake kugombea labda?Wanabodi
TAAMULI HURU: Wamarekani hawajawa tayari kuongozwa na Rais mwanamke Wamarekani, japo ndio the oldest democracy,lakini sio kila kitu!,bado wanakabiliwa na mfumo dume,hawajawa tayari kumchagua rais mwanamke,Sisi Afrika tumewatangulia,jana Namibia wamefanya kweli,wamechagua rais mwanamke,swali ni je na sisi Tanzania, 2025, tunakwenda kuwaonyesha?.
Paskali
Bora hata hashim rungweNaunga mkono hoja, 2025 twende na yoyote lakini sio mwanamke!.
Nchi ya kusadikikaKuna watu wanawaza posho za safari ya uapisho wa rais mpya.
Sure. Mwanamke uraisi hapana. Acheze3 tu de libolo si ndio..?Kama taifa linaloongoza dunia hii mara mbili wamechagua kichaa mbele ya mwanamke...that shuld tell u something.
Pamoja mzeyaSure. Mwanamke uraisi hapana. Acheze3 tu de libolo si ndio..?
Pa1Pamoja mzeya
Je kuna tofauti yoyote kati ya wewe na Lucas Mwashambwa ukitoa majinani bayana waTanzania wote wameshaamua kwenda na kipenzi chao, chenye dhamira njema na nia madhubuti ya wazi kabisa, ya kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
ana aminika na ndie pekee anaekobalika zaidi kitaifa na kimataifa.
ni Dr Samia Suluhu Hassan, mwenyekiti wa CCM Taifa, na Rais wa JMT.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ACT waliwahi, marehem mkuu wa mkoa KilimanjaroKuna mgombea yeyote wa urais aliye mwanamke hapa kwetu ambaye ameshapitishwa na chama chake kugombea labda?
Ukweli mtupu.Ccm Haina haja na kura za wananchi ili "washinde".
Kikubwa ni Rais mwanamke.Shida sio kuwa na rais mwanamke tatizo ni mwanamke wa aina gani?
ile ya maana zaidi ni kwamba,Je kuna tofauti yoyote kati ya wewe na Lucas Mwashambwa ukitoa majina