Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

ile ya maana zaidi ni kwamba,
kama Taifa tunasonga pamoja, huku tukiongozwa na kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan,

hayo ya kibinafsi,
yatafutiwe ufumbuzi wa kibinafsi na itapendeza zaidi 🐒
Kipenzi cha Watanzania wote huo utafiti umeufanyia wapi? Au ndiyo yale yale ya kumuita Jiwe shujaa wenu kama afanyavyo johnthebaptist, uchawa uwe na mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…