Nitawashangaa Kama Mtakubali Kupeleka Timu kwa Tarehe Itakayopangwa. Mkumbuke Mna Sakata la Kumitmua Kocha Miguel Gamond Siku Chache Kabla ya Kuanza Kwa Mashindano ya Klabu Bingwa Hali iliyopelekea Timu Kutofanya Vizuri Kwenye Mashindano Hayo.
Hili Liliwakwaza Sana Mashabiki Wenu, Uvumilivu Mnaouona Kwa sasa Unatokana na Timu Angalau Kupata Matokeo Chanya Kwenye Ligi ya Ndani.
Endapo Mtakubali Kupelekea Timu Hiyo Siku Tambueni Mpira Una Matokeo Matatu
Kushinda
Kusare
Kufungwa
Matokeo Yoyote Tofauti na y a Kushinda Mashabiki Hawatawaelewa ndio Hapo Hata Ile Heshima Mliyojijengea Itapotea.
Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
Kwa Tanzania, Derby ya Kariakoo ndio Inayoamua Hatima ya Ajira za Viongozi. Uongozi wa Simba Uliona Kabisa Unaenda Kupoteza Kwenye Derby Hii na Hivyo Kuathiri Ajira Zao. Kuepuka Hayo Yote Wakaona Heri Nusu Shari (Kuahirisha Mechi) Kuliko Shari Kamili (Kufungwa naYanga na Hivyo kupoteza Ajira zao). Mashabiki wao Wenyewe Mpaka Sasa Hawaelewi Wao Taarifa yoyote Inayokuja Ikiwa pendeza Wanaruka Nayo Wanaimba Wiki Ikija Taarifa Nyingine Wanaruka Nayo Yaani Hawaelewi Kipi ni Kipi.
Nawaomba Viongozi Wangu Hiyo mechi ya Marudiano Achaneni Nayo. SISI MASHABIKI TUNAOJIELEWA TUPO TAYARI HATA TIMU ISHUKE DARAJA TUTAENDELEA KUIFUATILIA KULIKO UHUNI HUU TULIOFANYIWA TUUBARIKI.
Mkoba Jnr: