Em leta matokeo ya mechi nne za mwisho ambazo mabaunsa hawakuhusikaKumbe Yanga waoga sana ndio maana mkapeleka mabaunsa kuzuia mazoezi, uhuni mwingi sana huu
Hatuataki Kushiriki Uhuni Uliohalalishwa na Viongozi Wenu Kwa Kuogopa Kudunguliwa Mara ya Tano. Nyie Wenyewe Hamuelewi Mnasimamia NiniWewe ni moja wa wanaotumia akili za Manara
Toa uthibitisho kama mabaunsa ni wa Ynaga. Sometime muwe mnaona aibu basi. Hao watu wana nguvu kiasi gani kuwazuia Simba walio na escort ya police wasiingie uwanjani?Kumbe Yanga waoga sana ndio maana mkapeleka mabaunsa kuzuia mazoezi, uhuni mwingi sana huu
Mpira unadunda mzee. Hivi ulitarajia kama Tabora United itaifunga Yanga goli 3? Hata Derby ya Mwisho Kibu alishinda goli la kichwa ila ikaonekana offside wakati sisi tuliishia ile ya Kijili kujifunga mwenyewe hatukuwa hata na goli la offside.Swala la kufungwa na wakudeka halipo ila hatuchezi kuwatia adabu
Sipo kujadili hiyo madaYanga ni mbumbumbu eti wanataka point 3 wakat refa hakuwepo uwanjani
kwamba baunsa akizuia mazoezi ni tiketi ya kukimbia mechiKumbe Yanga waoga sana ndio maana mkapeleka mabaunsa kuzuia mazoezi, uhuni mwingi sana huu
Unadhani kilicho wafanya wakimbie ni nini kama sio walinusa kipondo?Mpira unadunda mzee. Hivi ulitarajia kama Tabora United itaifunga Yanga goli 3? Hata Derby ya Mwisho Kibu alishinda goli la kichwa ila ikaonekana offside wakati sisi tuliishia ile ya Kijili kujifunga mwenyewe hatukuwa hata na goli la offside.
Lolote laweza tokea
Mpe bonus ya mechi tisa kabisa aone Simba ilivyo struggle kupata matokeo kwa YangaEm leta matokeo ya mechi nne za mwisho ambazo mabaunsa hawakuhusika
Utopoloism inakuwa janga la kitaifa Sasa... Kwa ivo hata wakitoka droo ni Simba ndiyo inayo struggle?Mpe bonus ya mechi tisa kabisa aone Simba ilivyo struggle kupata matokeo kwa Yanga
Mechi 9Utopoloism inakuwa janga la kitaifa Sasa... Kwa ivo hata wakitoka droo ni Simba ndiyo inayo struggle?
Unadhani laiti kama maamuzi yangekuwa dhidi ya Simba wangekaa kimya? Mbona hufikirii vitu kwa kina? Kwasasa Simba lazima wakae kimya kwasababu bodi ya ligi imeishaibebea msalaba wa Simba hakuna sababu ya Simba kutoa tamko wala kuongea ongea lolote wao wako katika sehemu salama kwa kubebewa makosa yao ya kugomea mechi na bodi ya ligi.Hili bandiko ni kama ni mvinyo Mpya kwenye chupa ya zamani.
Simba waliandika barua Moja tu... Wakakaa kimya. Yanga Sasa...[emoji2][emoji3][emoji38][emoji1]
Komeo Lachuma hoja yako Sasa nimeielewa.