Never-Ever Uongozi Wa Yanga Msikubali Mechi Ya Marudiano na Simba

Pamoja na kuipenda kwangu Yanga kote huku lile goli la Kibu mimi sikuona dosari yake au sijui nilikaa angle tafauti?
 
Amna kitu yanga mtaweza fanya, timu mtaleta na mechi itachezwa. No corners hapa

Hamna mtanzania mwenye uwezo wa kugoma nchi hii
 
Inawezekana kuna kitu kikubwa nyie manyau ya utopolo mnakijua...hii ya kuogopa kucheza derby inashangaza na fujo mlizianzisha wenyewe...
 
Yanga bwana 😂 wanasema hawachezi mechi tena ukiwauliza matokeo ya mechi wanakuwa wakali Refa alikuwa nani wanatukana ukiwaambia hata hiyo saa 1 muda wa mechi hawakuwepo uwanjani bado wanaamini kuna points 3 za bure
 
tumefikia hatua ya ligi kuendesgwa na mshabiki?
 
Wakikubali Tu nakuhalikishia tunawaweka tena goli3..ubaya ubwela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…