Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

Tukufahamishe tu kwamba Chama kilicho shinda Zambia ndiyo kilipigania uhuru wa Zambia kikiingozwA na Hayati Kaunda, kilitolewa 1995 sasa kimerudi kuiokomboa Zambia kutoka mikononi mwa Wachina waliochukua kila kitu chini ya chama kisicho na uchungu na Zambia.Kule Malawi rais Chakwera amekirudisha chama kilichopigania uhuru wa Malawi baada ya nchi kuwa mikononi mwa vyama saccos na kupeleka uchumi wa Malawi kusota.Chadema pateni SoMo kwamba NGOMA YA WATOTO HAIKESHI.Ni muda sasa kwa CCM kuanza kurudisha watoto wake wa kusini mwa Afrika madarakani.Sasa SADC umerudi kwenye mikono salama
 
sidhani kama uko timamu
 
Unauhakika na ulichoandika kuhusu chama kilichopigania Uhuru Zambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…