Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

Kwani Magufuli hakuwa mcha 'mungu'?

'Maza Mizinguo' siyo mcha 'mungu'! Hukuona alivyokuwa akipapasapapasa mto wa Lissu pale hospitali ya Nairobi? Ulidhani mtu kama huyo angeweza kufanya anayofanya leo kwa wapinzani?
instagram(2).jpg
 
View attachment 1892496

Mgombea Urais anayeongoza nchini Zambia wa Chama cha UPNDP Hichilema, alishashindwa uchaguzi wa Urais mara 5 nchini humo lakini hakukata tamaa, hii anayoongoza sasa ni mara ya 6.

Ni Mwanasiasa aliyeongoza kwa kunyanyaswa na Mamlaka wakisaidiwa na Polisi wa nchini Zambia, Taarifa zinaonyesha kwamba Mwaka 2017 Rais wa Zambia Edgar Lungu alituma vikosi vya Usalama nyumbani kwake kumkamata na kisha kumbambika kesi ya Ugaidi kama zilivyo tawala nyingi za kiafrika. Alikaa gerezani kwa siku 118 hadi pale Wazungu walipoingilia kati, baadaye akafutiwa mashtaka .

Mpaka muda huu anaongoza kwa mbali sana kwenye mbio za Urais wa nchi hiyo , na huenda akatangazwa Rais Mpya wa Zambia muda wowote kuanzia sasa

USITHUBUTU KUJIMWAMBAFAI , MADARAKA NI DHAMANA YA MUDA MFUPI TU, TUTENDE HAKI JAMANI

UPDATES
=========

View attachment 1893046
Wazungu..Mungu awabariki hawa jamaa wanapenda sana haki hata kama wanantunyonya ila wanaheshimu sana haki za binadamu kwa sasa..sio kama hawa makoloni meusi yenye uchu wa madaraka na kuumizana kisa madaraka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani Sheikh Ibrahim H. Lipumba amegombea miaka, John M. Cheyo kagombea miaka mingapi, Augustino L. Mrema nae kagombea miaka mingapi......hebu acheni kufananisha upinzani wa nchi nyingine na huu upuuzi wa hapa kwetu
 
Siku_127_Gerezani_Leo_ni_Rais_wa_Zambia_salaam_nzuri....jpg

Hichilema akiwa kizimbani kwa amri ya Lungu
 
Hayo unaropoka wewe
Sasa yametokea wapi tena hayo, mbona tunaongea kawaida tu lakini wewe umeshapaniki dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......sio kila wakati mpende kuambiwa maneno ya kuwafurahisha tu
 
Mifano hii tunayotoa ni fundisho kwa ccm na mamluki wao , nothing lasts longer , na ndio maana hata Yesu alikufa
 
Mifano hii tunayotoa ni fundisho kwa ccm na mamluki wao , nothing lasts longer , na ndio maana hata Yesu alikufa
Ukiongea hivi nini kinapungua kwako, au itikadi yenu nyie wanachadema ni lazima kutoa povu pale mnapoona watu hawaendani na mawazo yenu?
 
Tawala nyingi dhalimu barani Afrika zingekwishaondoka iwapo tu kama kungekuwepo mifumo adilifu ya Uchaguzi.
 
Mifano hii tunayotoa ni fundisho kwa ccm na mamluki wao , nothing lasts longer , na ndio maana hata Yesu alikufa
Na mifano hii mnayoitoa ni mifano iliyokufa kibudu, narudia tena "MSIFANANISHE VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI WA NCHI NYINGINE NA HAWA WALEVI WENU WALIOPO HAPA NCHINI"
 
Na mifano hii mnayoitoa ni mifano iliyokufa kibudu, narudia tena "MSIFANANISHE VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI WA NCHI NYINGINE NA HAWA WALEVI WENU WALIOPO HAPA NCHINI"
Ingekuwa hivyo Katiba mpya ingepingwa kwa nguvu ya mabomu ?
 
Mkuu kwenye ukweli lazima tuseme hata kama utakuwa unauma vipi
Sina ugomvi na wewe. Wewe unashabikia CCM mie Chadema. Imani zetu za kiitikadi haziwezi kutugombanisha.
Wazambia wameogopa kuogopa wakaepusha Shari.
Ninyi wengine hamuogopi kuogopa mpaka muone.
 
nitajie mmoja kutoka upinzania ukiondoa Prop Lipumba na Mzee Rungwe aliyegombea hata mara mbili...
Wakati huo huo nyinyi wanaccm mlikuwa mkimnanga Lipumba kwa kugombea yeye tu miaka na miaka
 
Back
Top Bottom